Ulikua na sifa gani darasani kwako

Ulikua na sifa gani darasani kwako

nilikuwa mdogo kuliko wote darasan na mpaka sasa nipo chuo kikuu kiumri ni mkubwa lakini kwa sura na umbo naweza rudia ata shule ya msingi
 
Aiseee haa haa nlikua mchelewaj
Maarufu na mtoro maarufu mpga
Kelele maarufu bingwa wa kuiba maparachichi
Na mahind choma+ya kukaangwa

yan mpaka
Namaliza shule ya msing
Nlikua nafahamika shule nzima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahaha hatari
 
Hahah!! Hao wakina john visomo walikua wanatia hasira sana
 
hayo macho yanaonesha tu
428311.jpg
 
Nilikuwa nacheza tu na notes, hadi maths..zima moto..Ila siku ya paper pipo zinatamani zikae karibu namie, zinaanza usumbufu, wakati darasani zipo 24/7.

Sikuwahi kusoma kitu kinaitwa tuition..nikiona napoteza muda. Hahahaaha.

Mama yangu akanipa jina "akili za kusia" (Usiaji mbegu) maana akili za kupandikiza ni sawa na upandikizaji wa mmea, ukikumbwa na stresses unanyauka/ kukauka.
 
Umenikumbusha rafiki alikuwa mvivu basi karibu na mitihani anapita juu kwa juu zima moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenikumbusha rafiki alikuwa mvivu basi karibu na mitihani anapita juu kwa juu zima moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhahaha!!
Unafanya scanning, unatafuta tu point ya muhimu..Hayo maelezo ya blah blah unaweka kapuni...
Unaizimia moto mpaka NECTA..Ratiba ya NECTA ikishabandikwa huonekani DH wala class. 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom