Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Wakuu Hivi ushawahi enda Kwa ndg,jamaa ama msela wako tu ukakutana na kitu ambacho hukutegemea kabisa na ukabaki kujiuliza kilifika fikaje hapa?
Ebu lete kisa chako hapa.
Naanza Mimi......
Nilienda Kwa msela wangu sana yaani yule ambaye unamuita boya fala nk na mnabaki mnacheka tu bila kuonyesha reaction yoyote mbaya.
Nilipofika geto nikaona Kwa kitanda ana shuka la hospital lililoandikwa MSD.
Nikashangaa sana Kisha nikamuuliza oyaah hili zaga lilifikaje hapa?
Akaniambia tulia wewe hujui maisha!! Sikuendelea kumhoji nikabaki na masawali tu.
Mdogo wangu yeye nimewahi kukuta shuka la loudge jipya kabisa zuri na maandishi yake Bado mapya kabisa Wala nae hajali. (Sikuhoji)
Msela angu mwingine nilikuta baiskeli ya waremavu na amejaribu kiti Cha kustarehe kabisaa.
Huko uraini umewahi kukutana na Nini ukabaki na maswali mengi?
View attachment 3158780
Picha zinajieleza ni getoni Kwa msela