Ulikuta Nini kwenye Geto la mshikaji wako ukabaki kujiuliza hiki kilifikaje hapa?

Ulikuta Nini kwenye Geto la mshikaji wako ukabaki kujiuliza hiki kilifikaje hapa?

Novel yangu ilipotea. Niliitafuta sana ndani sikuipata na ndani kwangu walikuwa wanaingia jamaa yangu na mademu tu nikahisi labda kuna demu ameichukua maana jamaa alisema hakuchukua yeye. Jamaa alikuwa anakuja kwangu tu kwake hanikaribishi sasa kuna siku ghafla tukiwa maeneo jirani na anapokaa ilibidi niingie ndani kwake. Lahaula! Novel hiyo hapo mezani sebuleni kabisa na hata baadhi ya CD zangu. Nilitaka kuchukua akaniambia kwa upole kwamba bado hajamaliza kuisoma
 
Wana kama hao, ukiwapa mission yeyote inakamilika.. 😆😆
Uhakika mkuu. Kuna msela etu(rip)
Jamaa ilikuwa ukimtonya dili tu Tyr Hawa Wana ni muhimu sana kwenye circle ya maisha yetu.
FB_IMG_1732671791658.jpg
 
Mkuu hiyo taa ya barabarani ni High voltage kivipi
Nimemaanisha UNAKAA NA NYARA YA SERIKALI NYUMBANI. unajua Hilo kosa unapigwa mvua ngapi?

Nikafananisha ni sawa sawa na kuchezea umeme mkubwa HIGH VOLTAGE ⚡ ⚡ ⚡

Mkuu,
Kwani wewe hauna DD mbili nauliza kwa Nia njema TU 😊😊
 
Back
Top Bottom