Ulikuta Nini kwenye Geto la mshikaji wako ukabaki kujiuliza hiki kilifikaje hapa?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚comment za huko juu daaah kwanza nicheke maana...

Ila mi niliwahi kuta ile mashine ya salon ya kike ambayo wadada wanaweka kichwa sijui...

Nyingine nilikuta jamaa ana tranka ndani anafuga panya alafu anawanunulia na maziwa ya unga kabisa

Kuna jamaa angu yupo gomzi pale ni mkristo ila nilikuta ana ile fimbo ya mashekhe wanayoshika msikitini wakiwa wanatoa mawaidha... Na sio moja ila ana fimbo kama saba hivi
Kwa watu Kuna mambo asee.
 
Hiyo siijui. Nini huko Dar?
Screenshot_20241122-163812.png

Screenshot_20241122-163736.png
 
Wakuu Hivi ushawahi enda Kwa ndg,jamaa ama msela wako tu ukakutana na kitu ambacho hukutegemea kabisa na ukabaki kujiuliza kilifika fikaje hapa?

Ebu lete kisa chako hapa.

Naanza Mimi......

Nilienda Kwa msela wangu sana yaani yule ambaye unamuita boya fala nk na mnabaki mnacheka tu bila kuonyesha reaction yoyote mbaya.

Nilipofika geto nikaona Kwa kitanda ana shuka la hospital lililoandikwa MSD.

Nikashangaa sana Kisha nikamuuliza oyaah hili zaga lilifikaje hapa?

Akaniambia tulia wewe hujui maisha!! Sikuendelea kumhoji nikabaki na masawali tu.

Mdogo wangu yeye nimewahi kukuta shuka la loudge jipya kabisa zuri na maandishi yake Bado mapya kabisa Wala nae hajali. (Sikuhoji)

Msela angu mwingine nilikuta baiskeli ya waremavu na amejaribu kiti Cha kustarehe kabisaa.

Huko uraini umewahi kukutana na Nini ukabaki na maswali mengi?
View attachment 3158780
Picha zinajieleza ni getoni Kwa msela
View attachment 3158781
Kuna dogo alikuwa anaumwa si akapelekwa kibaha pale akapewa dripu alikuwa na homa akalala hapo mida flani jioni tukaenda kumchek hosptal hatukumkuta basi tukasubir maybe yuko toilet wap harudi daah lisaa limepita tukawaza kachanganyikiwa labda wacha tumsake mpaka kagiza kanaingiza hatumuoni tukasema turud home maybe karud home daaah kufika home yole dogo aisee karud home na lile limrija na drip lake kalitundika juu ya kitanda bado linaingia aisee maswali kama yote tukamwambia ilikuaje akasema pale wodini wagonjwa wanakufa anawaona kwa macho wamekufa wawili karibu yake akaona anaefuata na yeye akaamua kuondoka ili israel akija asimkute daah huyu dogo wa mia 16 yani
 
Wakuu Hivi ushawahi enda Kwa ndg,jamaa ama msela wako tu ukakutana na kitu ambacho hukutegemea kabisa na ukabaki kujiuliza kilifika fikaje hapa?

Ebu lete kisa chako hapa.

Naanza Mimi......

Nilienda Kwa msela wangu sana yaani yule ambaye unamuita boya fala nk na mnabaki mnacheka tu bila kuonyesha reaction yoyote mbaya.

Nilipofika geto nikaona Kwa kitanda ana shuka la hospital lililoandikwa MSD.

Nikashangaa sana Kisha nikamuuliza oyaah hili zaga lilifikaje hapa?

Akaniambia tulia wewe hujui maisha!! Sikuendelea kumhoji nikabaki na masawali tu.

Mdogo wangu yeye nimewahi kukuta shuka la loudge jipya kabisa zuri na maandishi yake Bado mapya kabisa Wala nae hajali. (Sikuhoji)

Msela angu mwingine nilikuta baiskeli ya waremavu na amejaribu kiti Cha kustarehe kabisaa.

Huko uraini umewahi kukutana na Nini ukabaki na maswali mengi?
View attachment 3158780
Picha zinajieleza ni getoni Kwa msela
View attachment 3158781
Shuka la MSD
 
Nyingine nilikuta jamaa ana tranka ndani anafuga panya alafu anawanunulia na maziwa ya unga kabisa
Kama yuko jirani na shule za advance, Hao panya wanalipa sana (Wale weupe), Huenda ni mradi wake baada ya kupata soko la uhakika.

Na sio panya tu, Haddi chura ni biashara nzuri (ya msimu), Maana unakuta unatakiwa kufanya practical (mazoezi) na shule haina panya wala chura.
 
Wee faza mbona umekaa kimchongo mchongo hivi...

Yaani una sapport jamaa afuge na chura pia au sio..
Bila kusahau na mende je
 
Back
Top Bottom