Ulikuta Nini kwenye Geto la mshikaji wako ukabaki kujiuliza hiki kilifikaje hapa?

Wakuu Hivi ushawahi enda Kwa ndg,jamaa ama msela wako tu ukakutana na kitu ambacho hukutegemea kabisa na ukabaki kujiuliza kilifika fikaje hapa?

Ebu lete kisa chako hapa.

Naanza Mimi......

Nilienda Kwa msela wangu sana yaani yule ambaye unamuita boya fala nk na mnabaki mnacheka tu bila kuonyesha reaction yoyote mbaya.

Nilipofika geto nikaona Kwa kitanda ana shuka la hospital lililoandikwa MSD.

Nikashangaa sana Kisha nikamuuliza oyaah hili zaga lilifikaje hapa?

Akaniambia tulia wewe hujui maisha!! Sikuendelea kumhoji nikabaki na masawali tu.

Mdogo wangu yeye nimewahi kukuta shuka la loudge jipya kabisa zuri na maandishi yake Bado mapya kabisa Wala nae hajali. (Sikuhoji)

Msela angu mwingine nilikuta baiskeli ya waremavu na amejaribu kiti Cha kustarehe kabisaa.

Huko uraini umewahi kukutana na Nini ukabaki na maswali mengi?
View attachment 3158780
Picha zinajieleza ni getoni Kwa msela
View attachment 3158781
😲😲
 
Rimonti ya AC ya ofisini ilipoteaga bana, tukaitafuta sana ofisini, na huyo mshakaji wangu nae alikuepo, hatukuipata, ikabidi itafutwe nyingine.

sasa kuna siku si nikamtimbia mshikaji geto kwake, alikua anaumwa, haloo, si nikaikuta ile remote ya AC ya ofisini geto kwa mshikaji, nae hata AC hana dah!🐒
 
Huyu aliamua awe anabeba kidogo kidogo Hadi akamilishe
 
Back
Top Bottom