Kelela JF-Expert Member Joined Nov 7, 2020 Posts 208 Reaction score 344 Nov 3, 2026 #1 Ulikutana na nini uliponunua gari used (za mkononi hapa Tanzania) hadi ukajuta kununua gari. Share nasi ili tupate kujifunza.
Ulikutana na nini uliponunua gari used (za mkononi hapa Tanzania) hadi ukajuta kununua gari. Share nasi ili tupate kujifunza.
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,335 Reaction score 2,899 Nov 3, 2026 #2 Tuliitest kwenye lami, safi kabisa. Nilipoingia kwenye barabara zetu za mashimo mpaka nafika myumbani baadhi ya vipuri vilikuwa kwenye tenga ila ndani ya hiyo gari.
Tuliitest kwenye lami, safi kabisa. Nilipoingia kwenye barabara zetu za mashimo mpaka nafika myumbani baadhi ya vipuri vilikuwa kwenye tenga ila ndani ya hiyo gari.
AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,122 Reaction score 5,319 Nov 3, 2026 #3 Hapa tanzania kuna wapi wanauza gari mpya km0? Ya mwaka 2026? Au unazungumzia used japan mpya bongo?
Kelela JF-Expert Member Joined Nov 7, 2020 Posts 208 Reaction score 344 Nov 3, 2026 Thread starter #4 AI BRAINFULL said: Hapa tanzania kuna wapi wanauza gari mpya km0? Ya mwaka 2026? Au unazungumzia used japan mpya bongo? Click to expand... Ulikutana na nini uliponunua gari used (za mkononi hapa Tanzania) hadi ukajuta kununua gari. Share nasi ili tupate kujifunza.
AI BRAINFULL said: Hapa tanzania kuna wapi wanauza gari mpya km0? Ya mwaka 2026? Au unazungumzia used japan mpya bongo? Click to expand... Ulikutana na nini uliponunua gari used (za mkononi hapa Tanzania) hadi ukajuta kununua gari. Share nasi ili tupate kujifunza.
willy ze great JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 1,086 Reaction score 1,332 Nov 3, 2026 #5 Nililipa hela kukagua 150k kwa fundi mimi nikiwa mkoani chini ya usimamizi rafiki angu kabisa wakasema chuma iko vizuri kumbe gearbox kimeo
Nililipa hela kukagua 150k kwa fundi mimi nikiwa mkoani chini ya usimamizi rafiki angu kabisa wakasema chuma iko vizuri kumbe gearbox kimeo