Ulikutanaje na rafiki yako ambaye kwa sasa ni kama ndugu yako

Ulikutanaje na rafiki yako ambaye kwa sasa ni kama ndugu yako

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Kuna wakati inatokeaga kama ajali mtu usiye mtarajia akaja kuwa rafiki wa muhimu kwenye maisha yako.

Mm nilikutana na huyu jamaa kama kmteja tu na huu ni mwaka wa 5 amekuwa rafiki wa faida kwetu sote wawili.
 
kwenye comments.. kisha Pm
Pm ikawa March 2020 til to date
Ila now anatumikia ban la maisha Lenie

Na mwingine kazini..

Mwingine Hostel chuo.. huyu tuliambatana sana mpk tukaanza kufanana. Hadi kesho bado tunaitana Twin
 
Duh ban ya maisha hii imekaaje ?
 
Nilikutana na huyu mwamba 2019, nilidhani kwa umri wangu siwezi kukutana na mtu tukawa washkaji namna hii. Kutoka hapo hadi mda huu, hadi kuna watu wakituona wanadhani jamaa ni mdogo wangu.
 
Hii naona mitandao mingi , inakuaje watu kudai wanasoma comments tu?
Mimi sina mtu ambae naweza sema nlikutana nae akanifaaa kwa wakati flan au kwa jambo flan, mara nyingi unaweza kuta mtu umeendana nae chemistry tu mtavibe tu na kupiga mastory. Wengi wa nliokutana nao wakanizingatia sana ni ndugu zangu ambao awali sikuwajua lkn nlikutana nao kwenye harakati za maisha wakanifaa parefu sana.
 
Vizuri mkuu japo umepotezea swali langu😅
 
Nilikua nafanya biashara flani ya kukodisha taa flan za kisasa na mwamba alikua anauza chips, sasa alikua na tabia ya kukopa taa toka mwanzo kabla sijaanza kuwepo mimi hapo, basi mwamba nikawa namkazi kila siku, ikawa ni ubabe juu ya ubabe, kama mnavyojua wakikutana miamba miwili huheshimiana, jamaa japo na kumkera kote ila aliniona mtu wa maana sana, mpaka leo ni mdau wangu mkubwa sana...
 
Back
Top Bottom