Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,069
- 25,172
Marafiki zangu wa karibu sana ni wale tuliokutana Form one tuklasoma pamoja hadi form 6. Ingawa wengine wao tuliendelea nao hadi chuo kikuu undergraduate, ila uhusiano tuliojenga tukiwa sekondari ulikuwa na nguvu sana kwenye maisha yetu. Baada ya kumaliza Undergraduate chuo kikuu nimetembea duniani na kuishi sehemu nyingi sana ila sijapoteza mawasiliano mazuri na rafiki zangu hao.