Ilikuwa 2004... baada ya kuchonganishwa na mabraza ili tuzichape ngumi na wao wakae cinema wakijionea pambano๐
Pambano likaanza... mchonganishaj akaja skioni kuniambia jamaa kakutukania mama, sikutaka kuuliza ni kweli ama n mbinu za mabraza nikamchapa Kofi Kali, (kutokana na umri mdogo ikawa ngumu kustahimili Kofi la kijana mwenzake wa miaka 6๐๐)
Akalia kwa vurugu na kukimbilia fimbo ndefu kichakani, nikadhan utani bhana.... akanishushia mbili za mgongo
Nikaanza kulia kwa uchungu, hapohapo mpita njia akaja kutuamua!!
Usela ndo ulianzia hapo mpk Leo jamaa ni zaidi ya ndugu, level zote kwenye maisha tumepita pamoja (ni kama pacha wangu)