Ulikuwa Hujui?? Basi haya ndio maajabu ya bia..!!

Mahesabu mazuri aisee.
Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Huu ni upotoshaji inafaa uzi upuuzwee kwani nyumba haijengwi kwa tofali peke yake.

Nunua izo tofali sijui 2870 tuone kama nyumba itajijenga. Hujatambua kuna garama za kununua kiwanja, kulipa fundi, furnitures. Rangi. Bati na mengine mengi,
 
Sasa wewe ndo wale wanaotumia kichwa kufugia nywele tu... Sasa kwa mwaka mmoja ukikamilisha tofali, mwaka ujao si unafanya mengine??? Alafu tambua kuna wengine viwanja na mazagazaga mengine wanayo
 
Kama hujui wanywaji wengi ndio wamejenga kuliko wasiokunywa.
 
Kwa uzi wako huu inaonyesha wewe hunywi bia! Kwahiyo wewe mwenzetu kila mwaka unajenga nyumba 2.! Swali langu; mpaka sasa una nyumba arobaini na ngapi????
Muheshimiwa mleta mada...majibuu!!
 
Kila ukinywa bia 1 umekunywa tofali 2 za kujengea.
Bia 1 kwa bei ya kawaida ni Tsh.2500/= na tofali 1 la
inch 6 kwa maeneo mengi ya nchi ni bei isiyozidi
Tsh.1300/=. Kama unakunywa wastani wa bia 5 kwa
siku (kipimo cha kawaida) it means unakunywa bia
1,825 kwa mwaka sawa na tofali 3,650. Tofali 3,650 zinatosha kujenga nyumba 1 ya room 3 self contained
ya kisasa. Hii inamaanisha kuwa kama wewe ni
mnywaji basi kila mwaka unakunywa angalau
nyumba 1 au 2. Sasa hebu jiulize tangu umeanza bia
hadi leo umeshakunywa nyumba ngapi?
Anyway.. tuache kufananisha nyumba na vitu vya maana. Muhudumu ongeza bia.
ngumu kumeza,....neno.
 
Sasa wewe ndo wale wanaotumia kichwa kufugia nywele tu... Sasa kwa mwaka mmoja ukikamilisha tofali, mwaka ujao si unafanya mengine??? Alafu tambua kuna wengine viwanja na mazagazaga mengine wanayo
Kwenye uzi wako umeandika Kwa mwaka unaweza jenga nyumba moja ya kisasa self contained. Mbona unajikanyaga mkuu? Maisha yafaa nini bila pombe?
 
Fanya hesabu kama hizo kwa kutembea na mchepuko au changudoa mara moja tu kwa mwezi.
Weka hela ya Guest mfano elfu 15. Ongeza nauli yako na yake kama elfu 5. Jumlisha hela ya hongo (whatever) utaita vipi. Tuseme elfu 30. Jumla ni elfu 50.
Tofali 50 kwa mwezi au 1200 kwa mwaka!
 
Okay,ww hunywi bia..embu sasa tuonyeshe nyumba yako uliyo ijenga
 
Kila ukinywa bia 1 umekunywa tofali 2 za kujengea.
Bia 1 kwa bei ya kawaida ni Tsh.2500/= na tofali 1 la
inch 6 kwa maeneo mengi ya nchi ni bei isiyozidi
Tsh.1300/=. Kama unakunywa wastani wa bia 5 kwa
siku (kipimo cha kawaida) it means unakunywa bia
1,825 kwa mwaka sawa na tofali 3,650. Tofali 3,650 zinatosha kujenga nyumba 1 ya room 3 self contained
ya kisasa. Hii inamaanisha kuwa kama wewe ni
mnywaji basi kila mwaka unakunywa angalau
nyumba 1 au 2. Sasa hebu jiulize tangu umeanza bia
hadi leo umeshakunywa nyumba ngapi?
Anyway.. tuache kufananisha nyumba na vitu vya maana. Muhudumu ongeza bia.

Hahahaha jamani
 
Acheni kuwianisha bia na mambo ya kipumbavu eboo!!!
 
Back
Top Bottom