chipaka.com
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,883
- 1,189
Chako ni kile umeweka tumboni ngugu,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe ndo wale wanaotumia kichwa kufugia nywele tu... Sasa kwa mwaka mmoja ukikamilisha tofali, mwaka ujao si unafanya mengine??? Alafu tambua kuna wengine viwanja na mazagazaga mengine wanayoHuu ni upotoshaji inafaa uzi upuuzwee kwani nyumba haijengwi kwa tofali peke yake.
Nunua izo tofali sijui 2870 tuone kama nyumba itajijenga. Hujatambua kuna garama za kununua kiwanja, kulipa fundi, furnitures. Rangi. Bati na mengine mengi,
Muheshimiwa mleta mada...majibuu!!Kwa uzi wako huu inaonyesha wewe hunywi bia! Kwahiyo wewe mwenzetu kila mwaka unajenga nyumba 2.! Swali langu; mpaka sasa una nyumba arobaini na ngapi????
ngumu kumeza,....neno.Kila ukinywa bia 1 umekunywa tofali 2 za kujengea.
Bia 1 kwa bei ya kawaida ni Tsh.2500/= na tofali 1 la
inch 6 kwa maeneo mengi ya nchi ni bei isiyozidi
Tsh.1300/=. Kama unakunywa wastani wa bia 5 kwa
siku (kipimo cha kawaida) it means unakunywa bia
1,825 kwa mwaka sawa na tofali 3,650. Tofali 3,650 zinatosha kujenga nyumba 1 ya room 3 self contained
ya kisasa. Hii inamaanisha kuwa kama wewe ni
mnywaji basi kila mwaka unakunywa angalau
nyumba 1 au 2. Sasa hebu jiulize tangu umeanza bia
hadi leo umeshakunywa nyumba ngapi?
Anyway.. tuache kufananisha nyumba na vitu vya maana. Muhudumu ongeza bia.
Kwenye uzi wako umeandika Kwa mwaka unaweza jenga nyumba moja ya kisasa self contained. Mbona unajikanyaga mkuu? Maisha yafaa nini bila pombe?Sasa wewe ndo wale wanaotumia kichwa kufugia nywele tu... Sasa kwa mwaka mmoja ukikamilisha tofali, mwaka ujao si unafanya mengine??? Alafu tambua kuna wengine viwanja na mazagazaga mengine wanayo
Kila ukinywa bia 1 umekunywa tofali 2 za kujengea.