East African
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 704
- 993
Wanywaji wengi wa bia ndio wamiliki wa nyumba hapa mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna yule masamaki mutu wa fweza, hajawahi kunywa bia? Ana majumba 73 pugu.Ukiacha kula pia ndo utajenga hata kumi aisee!
unaanzaje kununua tofali wakati hata kiwanja huna??utayatunza gheto hayo matofaliKila ukinywa bia 1 umekunywa tofali 2 za kujengea.
Bia 1 kwa bei ya kawaida ni Tsh.2500/= na tofali 1 la inch 6 kwa maeneo mengi ya nchi ni bei isiyozidi.
Tsh.1300/=. Kama unakunywa wastani wa bia 5 kwa siku (kipimo cha kawaida) it means unakunywa bia 1,825 kwa mwaka sawa na tofali 3,650.
Tofali 3,650 zinatosha kujenga nyumba 1 ya room 3 self contained ya kisasa. Hii inamaanisha kuwa kama wewe nimnywaji basi kila mwaka unakunywa angalau
nyumba 1 au 2.
Sasa hebu jiulize tangu umeanza bia hadi leo umeshakunywa nyumba ngapi?
Anyway.. tuache kufananisha nyumba na vitu vya maana. Muhudumu ongeza bia.
Mbona povu linakutoka mkuu? Pole tulia dawa ikuingieMaajabu mengine mpaka unaandika hivi huna hata kibanda bado unepanga, huku hunywi,
Sijui wewe unazipeleka wapi hizo hela
Kama hujawahi simamia hata kanyumba kako ka vyumva hata vinne utajenga humu jf nakwambia