Ulikuwa Hujui?? Basi haya ndio maajabu ya bia..!!

Ulikuwa Hujui?? Basi haya ndio maajabu ya bia..!!

Da!!kweli hii jf.comments zimenichekesha sana.kama ni hivyo basi binafsi nimeshakunywa takriban nyumba 26,maana nimeanza kunywa tangu mwaka 1999.ila nashukuru nalala kwenye nyumba yangu.
 
Bia na nyama ipi ghali?! Ukiwaza hayo utazika familia na kwashakoo mkuu.
 
Kama huna kiwanja hizo tofali unaziweka kwa mama mwenye nyumba au?
 
Maajabu mengine ya pombe ni kwamba kwenye vikao vya pombe ndiko baadhi ya dili za fedha pia hupatikana
Na imethibitika kwa baadhi ya watu walipoacha kwenda kwenye vikao vya pombe pia mapato yao ya fedha yalipungua kwa kiasi fulani. Hii haiusiani kwa wale wenye vipato rasmi kama vile mishahara
 
Hakuna uhusino wowote hapo,bia huwezi kufananisha na kitu chochote
 
Kila ukinywa bia 1 umekunywa tofali 2 za kujengea.

Bia 1 kwa bei ya kawaida ni Tsh.2500/= na tofali 1 la inch 6 kwa maeneo mengi ya nchi ni bei isiyozidi.

Tsh.1300/=. Kama unakunywa wastani wa bia 5 kwa siku (kipimo cha kawaida) it means unakunywa bia 1,825 kwa mwaka sawa na tofali 3,650.

Tofali 3,650 zinatosha kujenga nyumba 1 ya room 3 self contained ya kisasa. Hii inamaanisha kuwa kama wewe nimnywaji basi kila mwaka unakunywa angalau
nyumba 1 au 2.

Sasa hebu jiulize tangu umeanza bia hadi leo umeshakunywa nyumba ngapi?

Anyway.. tuache kufananisha nyumba na vitu vya maana. Muhudumu ongeza bia.
unaanzaje kununua tofali wakati hata kiwanja huna??utayatunza gheto hayo matofali
 
Maajabu mengine mpaka unaandika hivi huna hata kibanda bado unepanga, huku hunywi,
Sijui wewe unazipeleka wapi hizo hela








Kama hujawahi simamia hata kanyumba kako ka vyumva hata vinne utajenga humu jf nakwambia
Mbona povu linakutoka mkuu? Pole tulia dawa ikuingie
 
Back
Top Bottom