Inalipa
Member
- Jun 30, 2022
- 63
- 77
Aisee kwa walioa ama kuolewa wanaifahamu hii siku, inakuwa tamu lakini yenye presha nyingi.
Binafsi siku hii jasho halikuacha kunitoka na hata uchangamfu ulitoweka, lakini ni siku yenye kumbukizi tamu, hasa ukute unayemuoa ama kuolewa naye ni mtu unayemhusudu.
Kwa upande wako ilikuwaje siku hii?