Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Nilimkimbia bibi harusi ngoja nikioa tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi ma- biharusi mnaserebuka mbaya siku ya harusi.Haijakuwa ila ninajaribu kuiwaza itakuwaje siku hiyo…lakini ninauhakika nitadance Kwa bashasha mno ooooooo💃💃💃..yani mno aise.natamani bwana harusi nae awe anapenda music.I love music 💘💘💘
Kweli kabisa. Miaka ya Nyuma siku ya harusi unamuona bibi harusi akiwa na mapozi ya upole na ustaarabu unakua grade A. kwenye upande wa kudance wanaachia wenyewe wanafamilia wacheze.Siku hizi ma- biharusi mnaserebuka mbaya siku ya harusi.
Miaka ya nyuma Bibi harusi alikuwa full-time kuwaza kitakachotokea baada ya sherehe...!
Vipi mwanamke yeye hapotezi uhuru hata kidogo!?Mimi naona furaha inakua kwa mwanamke tuu..maana 90% kwa upande wa mwanaume unapoteza uhuru...wako...[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji28][emoji28][emoji28]Kila nikiwaza ntahitajika kudance na kutoa neno kuhusu mahusiano yetu stimu inakata kuhusu hio siku
Yaani sijui ntaambia nini watu[emoji28][emoji28][emoji28]
Na sala utaambiwa Utoe.
[emoji1787]Jf ameoa mmoja tu, yaani ni wewe pekee,
Uhuru gani Ambilikile Mwakatungulu?Mimi naona furaha inakua kwa mwanamke tuu..maana 90% kwa upande wa mwanaume unapoteza uhuru...wako...[emoji3][emoji3][emoji3]
Me nakumbuka nilishushiwa mke kwa basi kutoka kijiji cha 3 jirani baada ya kuwaeleza wazee nataka kuoa sasa. Maisha ya ndoa yakaanzia hapo siku iyo iyo tunaonana.
HatareeDaah miye nilicheza balaa, na ukizingatia marafiki walikuja basi karibia kujaa.Yaaani fuul kwaito hadi wananiuliza vipi leo umetupia wine nini, nawaambia hamna kitu nimeamua tuu kujifaragua.