Mie Bado aisee lakini inshallah ikifika nitakuja kuleta mrejeshokwanin soph au kwako bado haijafika?
Daah miye nilicheza balaa, na ukizingatia marafiki walikuja basi karibia kujaa.Yaaani fuul kwaito hadi wananiuliza vipi leo umetupia wine nini, nawaambia hamna kitu nimeamua tuu kujifaragua.Haijakuwa ila ninajaribu kuiwaza itakuwaje siku hiyo…lakini ninauhakika nitadance Kwa bashasha mno ooooooo💃💃💃..yani mno aise.natamani bwana harusi nae awe anapenda music.I love music 💘💘💘
Kumbe Chakorii wewe ni msichana, tena ambaye haujaolewa! Nitafanyia kaziHaijakuwa ila ninajaribu kuiwaza itakuwaje siku hiyo…lakini ninauhakika nitadance Kwa bashasha mno ooooooo[emoji126][emoji126][emoji126]..yani mno aise.natamani bwana harusi nae awe anapenda music.I love music [emoji180][emoji180][emoji180]
Jf ameoa mmoja tu, yaani ni wewe pekee,
Chief nini kulikufanya uamini chakorii ni mwanaume?Kumbe Chakorii wewe ni msichana, tena ambaye haujaolewa! Nitafanyia kazi
Nimecheka kwa sauti 🤣🤣🤣🤣Jf ameoa mmoja tu, yaani ni wewe pekee,
Hivi wapo ambao huwa ndo wanachunguliana kwa siku hiyo,, siku kabla walikuwa wamekaza...Inakuwa nzuri/njema yenye shauku kama ndio unaenda kuishuhudia Ikulu kwa mara ya kwanza