SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Oct 26, 2022 #41 Hapo nawaonea wivu wale ambao wanaoana kabla ya kuchakatana, lazima watakuwa wana shauku kubwa,lakini sisi tuliooa baada ya kujiridhisha kwanza inakuwa siku ya kawaida tu.
Hapo nawaonea wivu wale ambao wanaoana kabla ya kuchakatana, lazima watakuwa wana shauku kubwa,lakini sisi tuliooa baada ya kujiridhisha kwanza inakuwa siku ya kawaida tu.
J Joline JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 4,541 Reaction score 7,378 Oct 26, 2022 #42 Billy Kimber said: Yaani sijui ntaambia nini watu Click to expand... Ukiwa na hofu sana ndo utajikuta unajikojolea mbele za watu wakati n mambo ya kawaida tu[emoji28]
Billy Kimber said: Yaani sijui ntaambia nini watu Click to expand... Ukiwa na hofu sana ndo utajikuta unajikojolea mbele za watu wakati n mambo ya kawaida tu[emoji28]