Ulikuwa na ndoto ya kuwa na mwenza wa namna gani?

Ulikuwa na ndoto ya kuwa na mwenza wa namna gani?

Siyo kila unachokihitaji utapata.
Unaweza mpata mwenye vigezo vyote. Lakini huyo ni wa nje. Wa ndani sasa,baada ya miaka kama 20 akakugeuka.

Binafsi naona mzuri wa sura,poa tu. Kwa sababu tabia unaweza jaribu kumbadilisha,ikishindikana unabaki unajivunia tu uzuri wake basi.
Ila kwa wanawake, pendea unachokitaka wewe,kikiisha,chapa raba
 
Kwani ndoto yako ulitaka uwe na mke au mume wa aina gani?

Nashauri hivi,tembelea ndoto yako,usiforce mambo kwa sababu fulani.

Maisha ni wewe,ukiumia ni wewe,ukifurahi ni wewe! Usijali maneno yetu wanaadamu,siye hatuachi kuongea liwe Zuri au baya......Siye tutaongea tu haikwepeki.

Je,hapo ulipo unaamani? Au uliingia tu uonekane umeolewa,umeoa? Ulifuata pesa? Ulifuata kazi yake ili Msaidiane kiuchumi? Pesa zipo ila huna furaha ya mapenz? Fanya maamuzi sasa au subiri kifo furaha ukapatie mbinguni.
Mwenyezi Mungu akaponye kila roho siku ya Leo.

NB:Kumbuka mchozi ni dawa pia,lia pale inapobidi kupunguza mzigo wa maumivu moyoni.

NAWAPENDA SANA NDUGU MEMBERS!😍😘
Tuanze na wewe.

Ulitaka mnyakyusa wa namna gani ?
 
Siyo kila unachokihitaji utapata.
Unaweza mpata mwenye vigezo vyote. Lakink huyo ni wa nje. Wa ndani sasa,baada ya miaka kama 20 akakugeuka.

Binafsi naona mzuri wa sura,poa tu. Kwa sababu tabia unaweza jaribu kumbadilisha,ikishindikana unabaki unajibmvunia tu uzuri wake basi.
Ila kwa wanawake, pendea unachokitaka wewe,kikiisha,chapa raba
🤣🤣ni wazo zuri pia
 
Back
Top Bottom