Ulikuwa na ndoto ya kuwa na mwenza wa namna gani?

Siyo kila unachokihitaji utapata.
Unaweza mpata mwenye vigezo vyote. Lakini huyo ni wa nje. Wa ndani sasa,baada ya miaka kama 20 akakugeuka.

Binafsi naona mzuri wa sura,poa tu. Kwa sababu tabia unaweza jaribu kumbadilisha,ikishindikana unabaki unajivunia tu uzuri wake basi.
Ila kwa wanawake, pendea unachokitaka wewe,kikiisha,chapa raba
 
Tuanze na wewe.

Ulitaka mnyakyusa wa namna gani ?
 
🤣🤣ni wazo zuri pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…