Ntakasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 1,428
- 456
Umeshawahi kusikia chochote kuhusu LB Apparel Brand ya Fashion inayomilikiwa na Mtanzania Mwenzetu in US?
Basi ndio huyu, She is 41;but look at her yashhhh, Salut
BTW,she is a sister of a former BBA Winner, Richard Bezuidenhout.
Basi ndio huyu, She is 41;but look at her yashhhh, Salut
BTW,she is a sister of a former BBA Winner, Richard Bezuidenhout.
Linda wa Enzi hizoLinda akiwa anampamba Mbilia Bel kabla hajaanza maonesho. Kivazi alichovaa linda ni (LB) tangu enzi hizoLinda akiwa anamwonesha Koffi Olomide vifaa vyake vya facial vya kisasa vinavo ondoa wrinkles kwa laser hivi ni vifaa vinavotumika kwenye saloon za kisasa tulikuwa tunavo Tanzania 1998 kwenye saloon ya Linda. kifaa cha nyuma kabisa cha kwenye briefcase shuguli yake ilikuwa ya ku exfoliate na kuondoa blemishes.
Linda akiwa na wanae siku ya grand opening ya the New MILANOLinda akiwa Baltimore inner harbour akiwa kwenye vazi alilo designLB akiwa kwenye tabasam la furaha mno huku akiwa anadesign moja ya design zake zinazoendeana na jina brand name ya LBJuu na chini ni Designer ( LB ) akiwa kwenye shuguli zake za kudesign nguo
Designer Linda Bezuidenhout akiwa anamwonesha designer mwenzie heleni na nguo alizo designKwa picha zaidi bofya read more
Linda akiwa na mwanae wa kwanza wote wakiwa wamevaa LB nguo alizo designLinda akiwa Dukani kwakeJuu na chini ni LINDA BEZUIDENHOUT (LB), Tanzanian top beautician, designer (LB) na mfanya biashara wa siku nyingi, pia ni mwanachama wa CHADEMA. Chama cha wapenda haki.Hii ndio logo ya nguo anazo design LINDA BEZUIDENHOUT (LB)












