Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
1,428
Reaction score
456
Umeshawahi kusikia chochote kuhusu LB Apparel Brand ya Fashion inayomilikiwa na Mtanzania Mwenzetu in US?
Basi ndio huyu, She is 41;but look at her yashhhh, Salut
BTW,she is a sister of a former BBA Winner, Richard Bezuidenhout.

Linda wa Enzi hizo​
Linda akiwa anampamba Mbilia Bel kabla hajaanza maonesho. Kivazi alichovaa linda ni (LB) tangu enzi hizo
Linda akiwa anamwonesha Koffi Olomide vifaa vyake vya facial vya kisasa vinavo ondoa wrinkles kwa laser hivi ni vifaa vinavotumika kwenye saloon za kisasa tulikuwa tunavo Tanzania 1998 kwenye saloon ya Linda. kifaa cha nyuma kabisa cha kwenye briefcase shuguli yake ilikuwa ya ku exfoliate na kuondoa blemishes.
Linda akiwa na wanae siku ya grand opening ya the New MILANO
Linda akiwa Baltimore inner harbour akiwa kwenye vazi alilo design
LB akiwa kwenye tabasam la furaha mno huku akiwa anadesign moja ya design zake zinazoendeana na jina brand name ya LB
Juu na chini ni Designer ( LB ) akiwa kwenye shuguli zake za kudesign nguo
IMG_5064.jpg
Designer Linda Bezuidenhout akiwa anamwonesha designer mwenzie heleni na nguo alizo design
Kwa picha zaidi bofya read more

Linda akiwa na mwanae wa kwanza wote wakiwa wamevaa LB nguo alizo design
Linda akiwa Dukani kwake​
Juu na chini ni LINDA BEZUIDENHOUT (LB), Tanzanian top beautician, designer (LB) na mfanya biashara wa siku nyingi, pia ni mwanachama wa CHADEMA. Chama cha wapenda haki.
Hii ndio logo ya nguo anazo design LINDA BEZUIDENHOUT (LB)
 
Attachments

  • Linda 2.jpg
    Linda 2.jpg
    423.3 KB · Views: 11,891
  • Linda.jpg
    Linda.jpg
    352 KB · Views: 11,692
Huyu ni mrembo balaa kuna kipindi walinyambana na kimavi aka muke ya muzungu alaaaa walipakana hadi raha ila muke ya muzungu kakomaaje
Huyu alisema hadi Kikwete kidogo amzalie aliinyea CCM mpaka basi

duh shemeji una nondoooo

au una undugu na warumi?
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni mrembo balaa kuna kipindi walinyambana na kimavi aka muke ya muzungu alaaaa walipakana hadi raha ila muke ya muzungu kakomaaje
Huyu alisema hadi Kikwete kidogo amzalie aliinyea CCM mpaka basi

Heeeheee...
 
Mzuri....
duh 41? Hata mi mwenye 20's naonekana bibi hongera zake
 
Haki ya mungu tena naomba msaada kwenye tuta! Yaani kila nikijaribu kutamka hilo jina tangu enzi za Rich, nashindwa! Hivi ni Bezu...what? Anayeweza kuweka pronoanciation ya hilo jina?! Dinazarde, kweli ni binamy yako? Nisaidie basi hilo jina manake mnh!
 
Unataka nijiume mie we komea Linda tu mimi mwenyewe siwezi kabisaa
 
Last edited by a moderator:
Linda bwana..ana mitusi huyuuu ....ila ni mzuri haswaaa!mrs mali for life ! Wamuwache miaka 100000000000!
 
Unataka nijiume mie we komea Linda tu mimi mwenyewe siwezi kabisaa
n'shakoma aisee, ubishi wote kwishnei...manake sie wengine huwa hatukubali kukosa jibu...si nika-google!! Hiyo pronaunsiesheni yenyewe waliyoitoa gugo tu majanga; hii hapa: bezaydenhote
 
Back
Top Bottom