Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
1,428
Reaction score
456
Umeshawahi kusikia chochote kuhusu LB Apparel Brand ya Fashion inayomilikiwa na Mtanzania Mwenzetu in US?
Basi ndio huyu, She is 41;but look at her yashhhh, Salut
BTW,she is a sister of a former BBA Winner, Richard Bezuidenhout.


 

Attachments

  • Linda 2.jpg
    423.3 KB · Views: 11,891
  • Linda.jpg
    352 KB · Views: 11,692
Huyu ni mrembo balaa kuna kipindi walinyambana na kimavi aka muke ya muzungu alaaaa walipakana hadi raha ila muke ya muzungu kakomaaje
Huyu alisema hadi Kikwete kidogo amzalie aliinyea CCM mpaka basi


duh shemeji una nondoooo

au una undugu na warumi?
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni mrembo balaa kuna kipindi walinyambana na kimavi aka muke ya muzungu alaaaa walipakana hadi raha ila muke ya muzungu kakomaaje
Huyu alisema hadi Kikwete kidogo amzalie aliinyea CCM mpaka basi

Heeeheee...
 
Mzuri....
duh 41? Hata mi mwenye 20's naonekana bibi hongera zake
 
Haki ya mungu tena naomba msaada kwenye tuta! Yaani kila nikijaribu kutamka hilo jina tangu enzi za Rich, nashindwa! Hivi ni Bezu...what? Anayeweza kuweka pronoanciation ya hilo jina?! Dinazarde, kweli ni binamy yako? Nisaidie basi hilo jina manake mnh!
 
Last edited by a moderator:

Unataka nijiume mie we komea Linda tu mimi mwenyewe siwezi kabisaa
 
Last edited by a moderator:
Linda bwana..ana mitusi huyuuu ....ila ni mzuri haswaaa!mrs mali for life ! Wamuwache miaka 100000000000!
 
Unataka nijiume mie we komea Linda tu mimi mwenyewe siwezi kabisaa
n'shakoma aisee, ubishi wote kwishnei...manake sie wengine huwa hatukubali kukosa jibu...si nika-google!! Hiyo pronaunsiesheni yenyewe waliyoitoa gugo tu majanga; hii hapa: bezaydenhote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…