Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

Sasa mbona hakuchukua jina la mumewe?
kuchukua au kutochukua jina la mumewe kuna tatizo gani????kunaongeza au kupunguza nini hapo kwenye shughuli zake... jina is nothing hata mbwa/paka wana majina.
 
Jamani Zari na Linda kama wanafanana vileee!!Yani kama wamezaliwa kwam mama mmoja!!Wazuri sana...
 
Jamani Zari na Linda kama wanafanana vileee!!Yani kama wamezaliwa kwam mama mmoja!!Wazuri sana...

Linda kilichomsaidia ameanza kuishi ulaya tangu akiwa na miaka 18 na sasa ana 40+.

Tulikuwa wote O-level ila yeye alikuwa mbele yetu wale masistaduu ambao tulikuwa nao wengine wameshakuwa shapeless sasa hivi ni wamama pasee.
 
Sisi wenyewe wanaume tu ukipigwa na njaa na pesa huna unapauka kuanzia mwili mpaka nguo unazovaa.

BM salon minimum kila weekend lazima utumie 25,000/= ili nywele na sura yako iwe inang'ara siku zote, sasa kama umepigika utathubutu kukanyaga pale?

Utaishia kwa vinyozi wa chini ya mwembe unyowe kwa buku mbili scrub utakuwa unaisikia redioni tu.

Sura km haikung'aa toka unazaliwa hata ukifanya plastic surgery km Wako Jacko hamna kitu.
 
Wakati wao wanamaliza form four mimi aliniacha form two, huyu mrembo kakanyaga mamtoni akiwa na miaka 18 tu bado mbichi kabisa kabla hata Makongoro Nyerere hajazaa naye.

Sasa mako alizaa naye akiwa wapi au kuna kipindi alirudi kuishi bongo?
 
Si kihivyo kama unavyodhani, huyo mtoto wa Kimesera anatumia akili nyingi sana hapa duniani kama Maxence Melo, watu wa hivi hawana muda wa kuchanganywa na viruka njia muda wake anatumia kutengeneza masoftware.

Hivi kimesera ana nyadhifa gani serikalini?
 
Sasa sijui nikujibu nini? Baba yake ni Mzee kimesera kwao ni kiteto kwa Dar kwao Masaki, mama yake ni mzungu.

Linda pia amechanganya mama yake mzaramo baba yake mzungu.

Salute.. si kwa data ulizonazo
Haahaha mi nafutilia maswali unayoulizwa na wadau tu..
 
Back
Top Bottom