TZINVESTOR
Senior Member
- May 29, 2014
- 106
- 23
Sasa mbona hakuchukua jina la mumewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuchukua au kutochukua jina la mumewe kuna tatizo gani????kunaongeza au kupunguza nini hapo kwenye shughuli zake... jina is nothing hata mbwa/paka wana majina.Sasa mbona hakuchukua jina la mumewe?
Jamani Zari na Linda kama wanafanana vileee!!Yani kama wamezaliwa kwam mama mmoja!!Wazuri sana...
nataka nguo zake contact wapi
Sisi wenyewe wanaume tu ukipigwa na njaa na pesa huna unapauka kuanzia mwili mpaka nguo unazovaa.
BM salon minimum kila weekend lazima utumie 25,000/= ili nywele na sura yako iwe inang'ara siku zote, sasa kama umepigika utathubutu kukanyaga pale?
Utaishia kwa vinyozi wa chini ya mwembe unyowe kwa buku mbili scrub utakuwa unaisikia redioni tu.
Sura km haikung'aa toka unazaliwa hata ukifanya plastic surgery km Wako Jacko hamna kitu.
Absolutely.....
Kama anabisha amuangalie Akon kama huwa anang'aaa!
Mamayake ni mzaramo,ameshafariki.
Wakati wao wanamaliza form four mimi aliniacha form two, huyu mrembo kakanyaga mamtoni akiwa na miaka 18 tu bado mbichi kabisa kabla hata Makongoro Nyerere hajazaa naye.
Si kihivyo kama unavyodhani, huyo mtoto wa Kimesera anatumia akili nyingi sana hapa duniani kama Maxence Melo, watu wa hivi hawana muda wa kuchanganywa na viruka njia muda wake anatumia kutengeneza masoftware.
Mkuu@Matola umeua aisee
CC@Ben Saanane@Mungi@Dr Slaa@Mbowe@Tundu Lisu@Mtei
Sasa sijui nikujibu nini? Baba yake ni Mzee kimesera kwao ni kiteto kwa Dar kwao Masaki, mama yake ni mzungu.
Linda pia amechanganya mama yake mzaramo baba yake mzungu.