Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

601467_560412417326300_1767003034_n.jpg
 
Haki ya mungu tena naomba msaada kwenye tuta! Yaani kila nikijaribu kutamka hilo jina tangu enzi za Rich, nashindwa! Hivi ni Bezu...what? Anayeweza kuweka pronoanciation ya hilo jina?! Dinazarde, kweli ni binamy yako? Nisaidie basi hilo jina manake mnh!

bezaydenhote
 
Nishashindwa kulitamka anaejua aliandike kwa kiswahili labda ntajitahidi
 
Linda trans enzi hizo mitaa ya Sinza,huyu dada pesa kaishika tokea kitambo sana,nakumbuka ni mmoja ya watu wa kwanza kumiliki vile vigali vilivyokuwa vinafunguka milango kama milango ya ndege,hata Dewji wa Simba enzi hizo akiaminika kama mmoja wa matajiri naye alikuwa nacho,baadaye akawa na bonge la salon kule Kino akina papa Mopao K .Olomide alikuwa anaoshwa kucha huko,sijui bado yupo na yule houseboy wake (serengeti boyz)aliyemuoa na kuondoka naye,huyu dada haishi vioja,kuwa na kila kitu lakini BUSARA ndio kila kitu lasivyo pamoja na mafanikio utaonekana mtu wa hovyo,sijui kama kabadilika huko majuu
 
Pia alikuwa na kaka yake mtangazaji na mwendesha mazoezi ya viungo zamani wakiishi wote mitaa ya Sinza karibu Bobs Motel sijui nae kapotelea wapi.Hizi ndio sampuli asilia ya kwa kagame,kuanzia madame Rita,Mama wawili , Linda na yule dada alikuwa rapper mzuri akaishia kwa Mwisho na kwenda zake kwa Obama
 
anatukana huyu duuh

kuna clip moja iliwekwa na mange sijui alikuwa anamchamba nani, yaan katengeneza clip ya kumnyamba mtu hapo ndio nilimuona huyu dada ni kiboko. halafu binti yake mdogo ndi alikuwa anamshoot.
 
mfianchi

Nadhani ana personality ya UBISHI...lakini look at her today...Kafanikiwa.....Tujifunze kitu katiks kila type ya mtu...Mabaya yao tuwaachie wenyewe.....
 
Last edited by a moderator:
angekuwa bongo huyo wananchi wangefanya juu,chini hadi wamsombe wabongo nomaaa
Heaven on Earth
 
Last edited by a moderator:
kuna clip moja iliwekwa na mange sijui alikuwa anamchamba nani, yaan katengeneza clip ya kumnyamba mtu hapo ndio nilimuona huyu dada ni kiboko. halafu binti yake mdogo ndi alikuwa anamshoot.

Kwa mdomo mchafu humu ni ban mpaka mods watachoka na kumvua uanachama,yaan yeye na huyu binti yake washapatana akili hua wanapigana hadi picha za uchi
 
kuna clip moja iliwekwa na mange sijui alikuwa anamchamba nani, yaan katengeneza clip ya kumnyamba mtu hapo ndio nilimuona huyu dada ni kiboko. halafu binti yake mdogo ndi alikuwa anamshoot.

Kila nikikumbuka ile clip nacheka sanaa...pale alikua anamnyamba Mange Kimavi
 
Back
Top Bottom