Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

"House of Cards"
nishamaliza tangu Jumapili, next ni "Orange Is The New Black"June kukiwa uzima.

In the meantime tunaangalia some classics katika " Downton Abbey"

But I would really like to get a hold , of the entire "Isidingo" .

I will check it out on Amazon.


Asante sana mkuu kwa kunifungua macho kuhusu historia ya Chadema. Endelea kumalizia kuangalia House of Cards
 
"House of Cards"
nishamaliza tangu Jumapili, next ni "Orange Is The New Black"June kukiwa uzima.

In the meantime tunaangalia some classics katika " Downton Abbey"

But I would really like to get a hold , of the entire "Isidingo" .

I will check it out on Amazon.
Angalia "Being MaryJane" on BET kila jumanne na jumatano. Nimeichungulia online. iko poa sana mkuu. Tatizo huku Kibera hatuipati
 
Angalia "Being MaryJane" on BET kila jumanne na jumatano. Nimeichungulia online. iko poa sana mkuu. Tatizo huku Kibera hatuipati

BET can get formulaic at times. Asante kunikumbusha.
 
​Namkumbuka sana huyu dada alitesa sana kndoni miaka hio ya 90s...nasikia alikua punda pia wa sembe na alikua anauza nyapi kuongeza kipato..ilikua ukiwa na kisu kikali basi nyapi yake unaweza pata but bila hivyo hupati kitu....
 
Samahani kama nimekukwaza,nilikuwa sijui kama na wewe unamiguu ya kijapan. Lakini nyumbani kwetu wakikuona macho yanawatoka, utasikia, mtoto guu guu.

Kumbe inaitwa Miguu ya kijapan....Aiseee.....bhaaas freshy....
 
Haki ya mungu tena naomba msaada kwenye tuta! Yaani kila nikijaribu kutamka hilo jina tangu enzi za Rich, nashindwa! Hivi ni Bezu...what? Anayeweza kuweka pronoanciation ya hilo jina?! Dinazarde, kweli ni binamy yako? Nisaidie basi hilo jina manake mnh!
hey usitafuta kuunyogorota ulimi bure ,endelea kulitumia kimaandishi tu!mi nilivyolisoma tu ulimi wangu umejificha wenyewe!
 
601467_560412417326300_1767003034_n.jpg


MMmmh anaonekana mtundu kuliko mumewe, hivi mumewe apigiwi kwel????
 
tru dat!.....kuhongwa siyo kesi sana kwani hata linda naye anahongwa ila uzuri na ujanja wake ni jinsi anavyoisafisha ile hela aliyohongwa kuwa safi!ni kama wauza unga wengine walivyo smart kusafisha pesa zao kwa kufanya biashara zingine!.......siyo kama vicheche wengine ambao hao ndo wamejitoa mazima wanasubiri kuhongwa hata akili ya kufanya million izae jiwe hawana!


Mmmmmmh pesa haramu kuoshwa , mmh .... Unajifagilia upuuzi

Tukubaliane kutokukubaliana inatoooosha
 
Mzaramo wa wapi huyu? Don't tell me bagamoyo


Sasa hivi naona status yake ni MILF officially kabisaaaa
 
Back
Top Bottom