Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Leo nimepima umbali niliokuwa natembea kwenda shuleni sekondari kila siku. Kilomita tano! Kwenda na kurudi 10km.
Mara nyingine nilikuwa napanda gari kwenye 2km. so kila siku kulikuwa na uhakika wa kutembea 6km. Nilikuwaga na pumzi sana.
Mara nyingine nilikuwa napanda gari kwenye 2km. so kila siku kulikuwa na uhakika wa kutembea 6km. Nilikuwaga na pumzi sana.