Ulikuwa unatembea kilomita ngapi kwenda shuleni? Nilikuwa natembea hizi

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Leo nimepima umbali niliokuwa natembea kwenda shuleni sekondari kila siku. Kilomita tano! Kwenda na kurudi 10km.

Mara nyingine nilikuwa napanda gari kwenye 2km. so kila siku kulikuwa na uhakika wa kutembea 6km. Nilikuwaga na pumzi sana.

Screenshot_20220727-221552.png
 
Leo nimepima umbali niliokuwa natembea kwenda shuleni sekondari kila siku. Kilomita tano! Kwenda na kurudi 10km.

Mara nyingine nilikuwa napanda gari kwenye 2km. so kila siku kulikuwa na uhakika wa kutembea 6km. Nilikuwaga na pumzi sana.

View attachment 2306211
Kilichokufanya ufiche jina la shule nini? Kwani ulikuwa mwanafunzi pekee?
 
Mwembe to Bangalala kila siku kwenda nakurudi.
 
Back
Top Bottom