Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kilichokufanya ufiche jina la shule nini? Kwani ulikuwa mwanafunzi pekee?Leo nimepima umbali niliokuwa natembea kwenda shuleni sekondari kila siku. Kilomita tano! Kwenda na kurudi 10km.
Mara nyingine nilikuwa napanda gari kwenye 2km. so kila siku kulikuwa na uhakika wa kutembea 6km. Nilikuwaga na pumzi sana.
View attachment 2306211
Hataki ajulikane kama amesoma babati secondary..Kilichokufanya ufiche jina la shule nini? Kwani ulikuwa mwanafunzi pekee?
Bweni maisha rahisi sana. Shida msosi mbovu tu.Kilometre 7.5 kilasiku shule ya msingi
O level to advance bweni
And chuo hostel
Primary School 8km kila siku 16km.Leo nimepima umbali niliokuwa natembea kwenda shuleni sekondari kila siku. Kilomita tano! Kwenda na kurudi 10km.
Mara nyingine nilikuwa napanda gari kwenye 2km. so kila siku kulikuwa na uhakika wa kutembea 6km. Nilikuwaga na pumzi sana.
View attachment 2306211
UnatoshaBweni maisha rahisi sana. Shida msosi mbovu tu.
Halafu unatumia Tecno😁Kutoka Area C mpaka CENTRAL SECONDARY SCHOOL ilikuwa ni kilometer 3
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mtoa mada atakuwa MbuluHataki ajulikane kama amesoma babati secondary..
yaani we acha tu siku ya wali hadi wagonjwa walikuwa wanapona kwa muda kwani kupelekewa msosi bwenini ilikuwa shidaBweni maisha rahisi sana. Shida msosi mbovu tu.