Ulikuwa wapi hawa jamaa wakiwa kwenye peak?

Ulikuwa wapi hawa jamaa wakiwa kwenye peak?

Nd
[Verse 1: Solo Thang]
Yeah…
Yeah…
Hakuna S bila O
L bila O
Mwingine aitwe’ Thang bila Solo
Shupavu’ awajibike kama Apollo
Jay, Afande!
Ni ukuta’ wapi uchochoro?
Hakuna S bila O
L bila O
Mwingine aitwe’ Thang bila Solo
Shupavu’ awajibike kama Apollo
Jay, Afande!
Ni ukuta’ wapi uchochoro?
Yo Naghani’ ni mtazamo wa fani
Ile dhana ni uhuni wameleta hawa katuni
Kuna ku-rap na kumbwata
Ma-reaper na ma-rapper
Katuni, Tungo tata
Wapi ulipo we jaku?
Unakuwa mtumwa ili upewe promo kuuza
Au kama ni binti’ ukalale kwa prodyuza
Ma-Promoter wana uma tu’ hawajui na kupuliza
Na siku wakipuliza jua kidonda kishaoza
Natamani kuwa huru mnyonyaji asinidhuru
Wanaitwa “ma-Emcee” hawajui mitindo huru
Huu mtazamo wangu’ naona vingi vioja
Yaani watangazaji sasa’ ndo ma meneja
Vidato sita nlivyopitia
Ndivyo vinavyonisaidia
Mbunifu ukiizingatia
Hata wakinibania
Ni kipaji tu
Ni mtazamo tu
Msikasirike wash’kaji
Haya mawazo tu
Ulamaa…
[Chorus: Prof.Jay]
Ni mtazamo-zamo, Mc’ usiogope kivuli
Bora ukemee mabaya na usifie mazuri
Ni mtazamo-zamo, Mc’ usikwepe umande {Dj scratching}
Okoa Sanaa ya Bongo’ ili uchumi upande
Ni mtazamo-zamo, Mc' usiogope kivuli
Bora ukemee mabaya na usifie mazuri
Ni mtazamo-zamo, Mc' usikwepe umande
Ni Ulamaa, Professa Jay, Afande

[Verse 2: Prof Jay]
Ni mtazamo
Rap inakuwa ni mikingamo
Sasa watoto wadogo
Wanajiita watu wa makamo
Wanakwenda hatua mbili, wanarudi kumi na kujipongeza
Bila kuzingatia hatua nane walizopotеza
Hao ni mafukara wa akili zao’ na uwezo wao
Wasio tambua nini na nini ni hatma zao
Ma-gwiji vichwa chini, nadhani wanatunga sheria
Lakini sheria msumеno’ isije ikawarudia
Yes! Ma- underground wanafanya Rap inang’ara
Lazima muwe vinara’ kwenye msafara
Rap na mazingaombwe
Habadani! Haviendani!
Msitegemee …“Tawiree!” iwaokoe katika fani
Ni vyema ukafikiri kabla ya kufanya maamuzi
Tazama mbele’ usije ukanywa chai kwa mluzi {Whistling}
Na amini Askari shupavu ni lazima upitie Depo’
Vinginevyo ndugu yangu utakuwa’ unapaka rangi upepo
Kama unapata moja, kwanini usipate na mia?
Hiyo inawezekana’ kwa wote mlio na nia
Sioni sababu za msingi’ kuomba kwenye mitaa
Kama una kipaji’ iweje ufe na njaa
 
Kama una kipaji’ iweje ufe na njaa?
Kudos mwana umenikumbusha mbali sn[emoji106]
 
Nilikuwa kijijini kusikiliza show time RFA hadi niibe redio ya mzee akiwa ameenda wilayani kwenye semina[emoji3][emoji3].
Sema Solo alikuwa mkali sana. Alikujaga na ngoma moja baada ya kukosa tuzo ya mfalme wa rymes. Ililkuwa na vina vya kikatili sana
Ule wimbo hadi kesho hautoki kwenye playlist yangu,
Kilio changu,

Halafu kuna huu wa Solo ana Mpenzi chorus aliisimamia Mr. Paul

Ukija kwenye Mambo ya Pwani kuanzia Og hadi Remix ni kwikwi kuna kisauti cha Nature kinapita pale
 
Nilikuwa kijijini kusikiliza show time RFA hadi niibe redio ya mzee akiwa ameenda wilayani kwenye semina😀😀.
Sema Solo alikuwa mkali sana. Alikujaga na ngoma moja baada ya kukosa tuzo ya mfalme wa rymes. Ililkuwa na vina vya kikatili sana
Unaimbwa ivi...
Ndugu zangu... ndugu zangu mm mwenzenu Nina gundu.,.basi nipunguzeni machungu.....basi nunueni nyimbo zangu........

Nakumbuka baadhi ya hayo maneno......
 
Weeeh! Hahaha Afande na Bangi tena,
Sema mtu poa sana Baba Tunda
Yeah hana shida ila bange anavuta japo mara ya kwanza walikuwa wanalivuta huku wanawasha udi au pafyum,sema baada ya kushinda sasa wenzake ndo wakazid kuwa wanakuja na kuzivuta wazi wazi

Na hata kundi lao la ghetto boyz lilianzishwa akiwa kwetu
 
Unaimbwa ivi...
Ndugu zangu... ndugu zangu mm mwenzenu Nina gundu.,.basi nipunguzeni machungu.....basi nunueni nyimbo zangu........

Nakumbuka baadhi ya hayo maneno......
Hujakosea kumbukumbu bado ipo,

"Ndugu zangu, ndugu zangu, ndugu zangu,
Hiki ni kilio changu, me mwenzenu nina gundu,
Nifanye nini ili nitoke kwenye ukungu,
Nipunguzeni machungu, baasi, nunueni kanda zangu"
 
Yeah hana shida ila bange anavuta japo mara ya kwanza walikuwa wanalivuta huku wanawasha udi au pafyum,sema baada ya kushinda sasa wenzake ndo wakazid kuwa wanakuja na kuzivuta wazi wazi

Na hata kundi lao la ghetto boyz lilianzishwa akiwa kwetu
Watu pori mkuu nakuelewaa ....albamu nilinunua buku jero baada ya kuuza Sungura wangu🤓🤓
 
Weka Verse ya Afande basi,
Anakwambia

"Ahsante Prof Jay, Majani na Ulamaa,
Mmegusa nilipopataka,
Nami kwenye mtazamo nina jambo nataka kuweka,
Maana kila kukicha Mcs wanaongezeka,
Nasema very nice, yes rap kama dhehebu, Mcs kama wafuasi......"

Nilikua homeboy K'nyama moja hiyo, navikusanya vitoto naviimbia, nilikua mkali wa kukariri nyimbo zikitoka bila hata kujua maana ili mradi niwaimbie watoto afu najikuta superstar [emoji1]

Bro wangu alikua ana studio ya kizushi, dah maisha haya sasa hivi anapigiwa saluti somewhere [emoji119]
Dah,me nimekaa knyama karibu na kwa jafarai,mdogo wake alikuwa mwanangu sana
 
Nilikuwa kijijini kusikiliza show time RFA hadi niibe redio ya mzee akiwa ameenda wilayani kwenye semina[emoji3][emoji3].
Sema Solo alikuwa mkali sana. Alikujaga na ngoma moja baada ya kukosa tuzo ya mfalme wa rymes. Ililkuwa na vina vya kikatili sana
Saa kipind kile radio ilikuwa hadi uamishe upande wa Am upeleke Fm ndo uikute radio free
 
Back
Top Bottom