Ulikuwa wapi hawa jamaa wakiwa kwenye peak?

Ulikuwa wapi hawa jamaa wakiwa kwenye peak?

Unaimbwa ivi...
Ndugu zangu... ndugu zangu mm mwenzenu Nina gundu.,.basi nipunguzeni machungu.....basi nunueni nyimbo zangu........

Nakumbuka baadhi ya hayo maneno......
Nilianza kuimba hardcore, wadosi wakachomoa. Baana hii haipendwi, haiuzi tena inaboa,
nikaona niimbe commercial labda itaniokoa msoto ndo ukazidi yaani badala ya kupoa. Masikini jeuri, tajiri wa mikosi...............
 
Ule wimbo hadi kesho hautoki kwenye playlist yangu,
Kilio changu,

Halafu kuna huu wa Solo ana Mpenzi chorus aliisimamia Mr. Paul

Ukija kwenye Mambo ya Pwani kuanzia Og hadi Remix ni kwikwi kuna kisauti cha Nature kinapita pale
Mambo ya pwani guu la kushoto lavishwa cheni
Dume zima shanga kiunoni


Watu wanataka kuona bahari ila wanaogopa yako masharti ya kuvaa msuli wao wanataka jeans, poa ila zipu iwe nyuma😀😀
 
Mambo ya pwani guu la kushoto lavishwa cheni
Dume zima shanga kiunoni


Watu wanataka kuona bahari ila wanaogopa yako masharti ya kuvaa msuli wao wanataka jeans, poa ila zipu iwe nyuma[emoji3][emoji3]

Anakwambia "sema kama unataka kazi, kuna kupara samaki na kupara miwa, chochote unachotaka wewe utanunuliwa, shida zako za nyuma yakhe utatatuliwa"

Solo muhuni sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ewaa, kwenye Darubini Kali aliupiga mwingi sana mule,
Tuzo alistahili kiukweli,

Naukubali pia wimbo wa Mayowe ft J Mo, anakwambia acha kupiga Mayowe, acha wayaone wenyewe
Afande alikua yupo vzr enzi zake, kuna ile mkuki moyon kamshirikisha Daz baba achaa
 
Zamani wasani walikiwa wanaandika sana.....
Wasani sahv hata hawaandiki blah blah tu

Ova
 
Zamani wasani walikiwa wanaandika sana.....
Wasani sahv hata hawaandiki blah blah tu

Ova
Wa sasa hivi wanaunga unga mistari utasikia "sambusa kachori, ukipanda bus mimi napanda lori"

[emoji23][emoji23]
 
Nimezaliwa naiskiaga Sasa sijui ilinikutia wapi labda nikiwa bado sijaanza kutambua maneno
 
Lazima muwe vinara’ kwenye msafara
Rap na mazingaombwe
Habadani! Haviendani!
Msitegemee …“Tawiree!” iwaokoe katika fani
Ni vyema ukafikiri kabla ya kufanya maamuzi
Tazama mbele’ usije ukanywa chai kwa mluzi {Whistling}
My favorite lines of all time Prof-Jay alikua hatari back to those days...
 
Msafiri kondoo A.K.A traveler kapotea sana...Amekua mshua sana huko Majuu!
 
Back
Top Bottom