Mwanangikolo
Member
- Nov 10, 2022
- 63
- 105
Nyumba ip pale karume mzee mana nmekaa almost 3years kwa mzee mmoja anaitwa mhando r. I. P kwake uyu mzee alkuwa mshua masta anSasa niseme uongo utanilipa?
Kama ni ndugu yako mtajie unamjua jerry na hujawahi kupanga kwao mtaa wa karume ccm mjini?
Nilianza kuimba hardcore, wadosi wakachomoa. Baana hii haipendwi, haiuzi tena inaboa,Unaimbwa ivi...
Ndugu zangu... ndugu zangu mm mwenzenu Nina gundu.,.basi nipunguzeni machungu.....basi nunueni nyimbo zangu........
Nakumbuka baadhi ya hayo maneno......
Mambo ya pwani guu la kushoto lavishwa cheniUle wimbo hadi kesho hautoki kwenye playlist yangu,
Kilio changu,
Halafu kuna huu wa Solo ana Mpenzi chorus aliisimamia Mr. Paul
Ukija kwenye Mambo ya Pwani kuanzia Og hadi Remix ni kwikwi kuna kisauti cha Nature kinapita pale
NdioKilio Changu au
Mambo ya pwani guu la kushoto lavishwa cheni
Dume zima shanga kiunoni
Watu wanataka kuona bahari ila wanaogopa yako masharti ya kuvaa msuli wao wanataka jeans, poa ila zipu iwe nyuma[emoji3][emoji3]
Safii, wakishua weweeDah,me nimekaa knyama karibu na kwa jafarai,mdogo wake alikuwa mwanangu sana
Jay Moe ft. Solo thang - Kama unataka demu. By the way Sauti zao hazifanani kabisa.Ilinichukua muda mrefu kujua huyo ni Solo Thang na sio Jay Moe. Mwaka jana tu hapo😅
Afande alikua yupo vzr enzi zake, kuna ile mkuki moyon kamshirikisha Daz baba achaaEwaa, kwenye Darubini Kali aliupiga mwingi sana mule,
Tuzo alistahili kiukweli,
Naukubali pia wimbo wa Mayowe ft J Mo, anakwambia acha kupiga Mayowe, acha wayaone wenyewe
Wa sasa hivi wanaunga unga mistari utasikia "sambusa kachori, ukipanda bus mimi napanda lori"Zamani wasani walikiwa wanaandika sana.....
Wasani sahv hata hawaandiki blah blah tu
Ova
Iko poa sanaa alisema ni story ya kweli dahAfande alikua yupo vzr enzi zake, kuna ile mkuki moyon kamshirikisha Daz baba achaa
My favorite lines of all time Prof-Jay alikua hatari back to those days...Lazima muwe vinara’ kwenye msafara
Rap na mazingaombwe
Habadani! Haviendani!
Msitegemee …“Tawiree!” iwaokoe katika fani
Ni vyema ukafikiri kabla ya kufanya maamuzi
Tazama mbele’ usije ukanywa chai kwa mluzi {Whistling}