Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Nilikuwa kwenye tafrija ya harusi,kupitia hapa hapa Jamiiforums nikamsikia Tundu Lissu akisema watakinukisha nikahamasika sana. Kutokana na hiyo hamasa nikapakua vidali viwili vizuri kihamasa.
Wewe ulihamasika ukiwa wapi?
Wewe ulihamasika ukiwa wapi?