Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Hii NNJI banaWakati nipo chooni nakojoa maeneo ya Magufuli stand nikasikia sauti ya Lissu ikitokea nje ikidai kuwa itakinukisha na mimi nikahamasikaView attachment 3446958
Nilikuwa sebuleni, Sasa watakinukisha ndio nini na tafsiri ya dictionary ipi?Nilikuwa kwenye tafrija ya harusi,kupitia hapa hapa Jamiiforums nikamsikia Tundu Lissu akisema watakinukisha nikahamasika sana. Kutokana na hiyo hamasa nikapakua vidali viwili vizuri kihamasa.
Wewe ulihamasika ukiwa wapi?