jiwe la maji
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 1,062
- 705
Hawajaishiwa walaslim frank ribery kwa kikosi kile kocha angempanga dakika tano za mwisho saizi ufaransa wameishiwa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajaishiwa walaslim frank ribery kwa kikosi kile kocha angempanga dakika tano za mwisho saizi ufaransa wameishiwa mkuu
ExactlyGuivarch Hapo Alipigwa Chini Akabebwa Nicolas Anelka. We Striker Hafungi Kama Beki. Yani Kwa Msiomjua Guivarch Ni Kama Giroud,Hata Giroud Afadhali Anafunga.
Lazarazu, hunishindi mimi unazi kwa ufaransa. Siku ile David anaunganisha mpira wa kross ya Pires iliyotoka kulia nilipiga kelele nikavua shati mbio mbaya kutoka nje kutamba.Nilikuwa barnaba Niko likizo baada ya kufunga shule, siku hiyo nimetoka zangu kucheza fainali ya kombe la kuku tumepigwa 6-1 na jamaa Fulani walikuwa wanajiita BLACK MAMBAZ wakachukua jogoo wao halafu wakatufurumusha na mawe maana yalikuwa ni madingi na ligi ilichezewa mtaani kwao.
Kwanza sikula kabisa usiku, ukichanganya maumivu ya kukosa kuku na ule mzuka wa kusubiria game hamu ya kula itoke wapi, akili yangu ilikuwa inawaza kumuona TH14 akitupia tu basi.
Siku hiyo Zidane alikuwa haoni pakupitisha mipira aliwekwa kwenye giza la catenacio kila akigeuka akiangalia mbele anamuona canavaro na nesta sio henry wala djokerf.
Mpaka dakika 91 baada ya mpira kuanza nawaona wataliano wakijiandaa kushangilia ubingwa wameshajifunga na bendera zao viunoni, nikajua tayari ngoma imelala na pia muda huo Italia alikuwa ametolewa na France world cup iliyopita kwenye robo fainali hivyo ilikuwa ni mechi ya kisasi.
Sekunde 28 za mwisho wataliano hawawezi kuzisahau kamwe katika maisha yao baada ya trezguet kuwavurugia sherehe, dakika tatu baada ya extra time wiltord ana wauwa wataliano kwa goli la dhahabu na mpira unaisha ufaransa anaweka record ya kuchukua euro na WC ndani ya miaka miwili.
Nikiwa kama shabiki mkubwa wa ufaransa naomba sana FIFA waturudishie tena goli la dhahabu, hili dunia iendelee kuona maajabu yalikuwa yanafanywa na ufaransa kipindi hicho
Ni Christian karembeu sio Patrick pia pana mtu aliitwa johan micoud akina Vincent candela pia walihusika katika squad hiiNyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita. Pata picha jinsi Ufaransa hii ilivyosheheni katika michuano ya Euro 2000.
1.Barthez
2.Lilian Thuram
3.Bixente Lizarazu
4.Laurent Blanc
5.Marcel Desailly
6.Patrick Viera
7.Robert Pires
8.Youri Djokaeff
9.Thiery Henry
10.Zinedine Zidane
11.Sylvan Wiltord
Sub:
David Trezguet
Christoph Dugarry
Patrick Karembeu
Emmanuel Petit
Frank Libouf
Hapo captain Didier Deschamps alishastaafu.
Hakika sidhani kama Wafaransa watakuja kupata kikosi mahiri kama hiki, timu ilienea haswa! Hapo Fainali Italy anakufa kwa goli la dhahabu, Nyakati zimekwenda wapi? Ulikuwa wapi wakati kikosi hiki cha Les Bleus kikitikisa Ulaya na Dunia nzima?

Umenchekesha sana kwamba kichogo alikutia matataniKitambo sana mkuu, hapo ndio hasa mpira ulikuwa damuni.. kila nikimchek zidane, hapa henry kichogo aisee hili chama likinikosha, na kichogo ndio alinitia kwenye matatzo ya kuipenda arsenal..
Ila mkuu nakumbuka deschamps alikipiga hayo ndio mashindano yake ya mwisho baada ya hapo akatundika daruga
We acha tu ningeyajua haya ningeyakwepa mapema..Umenchekesha sana kwamba kichogo alikutia matatani
Haaaaaaaaa 1998 Laurent Black anambusu Bartezi kipara chake kila gemu,solid defence line ile ilikuwa hatari sana huku katikati unamwona the Captain Didier mwenyewe
Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita. Pata picha jinsi Ufaransa hii ilivyosheheni katika michuano ya Euro 2000.
1.Barthez
2.Lilian Thuram
3.Bixente Lizarazu
4.Laurent Blanc
5.Marcel Desailly
6.Patrick Viera
7.Robert Pires
8.Youri Djokaeff
9.Thiery Henry
10.Zinedine Zidane
11.Sylvan Wiltord
Sub:
David Trezguet
Christoph Dugarry
Patrick Karembeu
Emmanuel Petit
Frank Libouf
Hapo captain Didier Deschamps alishastaafu.
Hakika sidhani kama Wafaransa watakuja kupata kikosi mahiri kama hiki, timu ilienea haswa! Hapo Fainali Italy anakufa kwa goli la dhahabu, Nyakati zimekwenda wapi? Ulikuwa wapi wakati kikosi hiki cha Les Bleus kikitikisa Ulaya na Dunia nzima?
Aloo kumbe ni wengi mimi mwenyewe ule wingi wa mablack ulichangia sana kunifanya niwe shabiki wa ufaransa na walikuwa wanapiga kazi haswaa akina Viera na marcelle hawa watu walikuwa ni nadra kumaliza game bila kadi.Lazarazu, hunishindi mimi unazi kwa ufaransa. Siku ile David anaunganisha mpira wa kross ya Pires iliyotoka kulia nilipiga kelele nikavua shati mbio mbaya kutoka nje kutamba.
Mimi hata nikifa leo, ndugu na marafiki zangu watanikumbuka zaidi kwa ushabiki wangu uliotukuka kwa timu ya ma black, warabu na wazungu Ufaransa.
Aloo kumbe ni wengi mimi mwenyewe ule wingi wa mablack ulichangia sana kunifanya niwe shabiki wa ufaransa na walikuwa wanapiga kazi haswaa akina Viera na marcelle hawa watu walikuwa ni nadra kumaliza game bila kadi.
Nakumbuka WC ya 2014 kuna commentator alisema 'an african team represents Europe' akimaanisha ufaransa.
acha utani kiongoziKaivunja kichuya bwana
Goli la dhahabu lilifungwa na Wiltold? Au la kusawazisha?Nilikuwa barnaba Niko likizo baada ya kufunga shule, siku hiyo nimetoka zangu kucheza fainali ya kombe la kuku tumepigwa 6-1 na jamaa Fulani walikuwa wanajiita BLACK MAMBAZ wakachukua jogoo wao halafu wakatufurumusha na mawe maana yalikuwa ni madingi na ligi ilichezewa mtaani kwao.
Kwanza sikula kabisa usiku, ukichanganya maumivu ya kukosa kuku na ule mzuka wa kusubiria game hamu ya kula itoke wapi, akili yangu ilikuwa inawaza kumuona TH14 akitupia tu basi.
Siku hiyo Zidane alikuwa haoni pakupitisha mipira aliwekwa kwenye giza la catenacio kila akigeuka akiangalia mbele anamuona canavaro na nesta sio henry wala djokerf.
Mpaka dakika 91 baada ya mpira kuanza nawaona wataliano wakijiandaa kushangilia ubingwa wameshajifunga na bendera zao viunoni, nikajua tayari ngoma imelala na pia muda huo Italia alikuwa ametolewa na France world cup iliyopita kwenye robo fainali hivyo ilikuwa ni mechi ya kisasi.
Sekunde 28 za mwisho wataliano hawawezi kuzisahau kamwe katika maisha yao baada ya trezguet kuwavurugia sherehe, dakika tatu baada ya extra time wiltord ana wauwa wataliano kwa goli la dhahabu na mpira unaisha ufaransa anaweka record ya kuchukua euro na WC ndani ya miaka miwili.
Nikiwa kama shabiki mkubwa wa ufaransa naomba sana FIFA waturudishie tena goli la dhahabu, hili dunia iendelee kuona maajabu yalikuwa yanafanywa na ufaransa kipindi hicho
Rangi ya jezi za Ufaransa hazijawahi pendeza kama hizi licha ya kubadilisha mara kadhaa
Nahisi yupo Crystal PalaceNi kweli mkuu, Dino Zoff alitamba wakati Italy ikibeba ndoo ya Dunia pale Espana (Spain) mwaka 1982 chino ya Mshambuliaji matata wa kipindi hiko Paolo Rossi.
Pia kuna beki aliyeitwa Claudio Gentile ambaye alisifika kwa man marking dhidi ya washambuliaji hatari waliokutana na Italy.
Kuna mlinda mlango anaitwa Sirigu alikuja vizuri kumchallenge Buffon ila siku hizi amepotea sana!
yupo ligi ya ItalyNahisi yupo Crystal Palace