Ulikuwa wapi wakati Ufaransa hii inaitoa nishai Italy Euro 2000

Ulikuwa wapi wakati Ufaransa hii inaitoa nishai Italy Euro 2000

Rapa Gentamycin, Hivi kile kikosi chetu World Cup 2006 hasimu wetu Blazir angeponea wapi? 1.Bartez, 2.Sagnol, 3.Abidal, 4.Gallas, 5.Thuram, 6.Viera, 7.Marouda, 8.Makelele, 9.Trezeguet, 10.Zizou, 11.Henry. Beanch yuko Ribery farasi, Wiltod, Sirvestre, Coupet na Govou. Hapo Blazir ilikuwa lazima are 16 bora kwenda robo final.

Gaucho wao na Ronaldo walikumbana na kiama cha miamba ya kiafrika yenye nguvu Gallas, Thuram, Viera na Makelele.

Siku ile nilifurahi nilipiga kelele mtaani kama mwehu huku mtaa ukiwa kimya kama wamefiwa eti kisa Blazir kufa. Na hiyo ilikuwa ni mfululizo wa waniga wa kifaransa kumchinja na kumsukumiza nje Blazir world cup, mwanzo ilikuwa 1986 kule Mexico alafu 1998 Ufaransa tena 2006 Ujeruman na kabla ya hapo 2001 Blazir alikuwa amesha uwawa kule Japan robo final ya kombe la mabara wauwaji wakiwa akina Pires na Diessel.

Nawapenda sana Less Blues na huwa nawachukia sana Blazir kwakuwa washabiki wao hawaipendi kabisa Ufaransa yaani wao hupenda Ufaransa tuchapwe na timu yoyote ile tunayokutana nayo.
Siipendi ufaransa naipenda brassil
 
Muuaji mwenye kutabasamu. Nilitamani sana kumuona Trezeguet EPL. Unakumbuka nusu fainali? Xavier ananawa mpira dakika za lala salama, zidane anaenda kupiga penalti, figo anavua jezi na kutoka uwanjani
Yaah trezagoal na kale kamzuzu kake ka kiushkaji mtoto wa jorge Ernesto Trezeguet beki wa zamani wa timu ya taifa ya Argentina.
 
Muuaji mwenye kutabasamu. Nilitamani sana kumuona Trezeguet EPL. Unakumbuka nusu fainali? Xavier ananawa mpira dakika za lala salama, zidane anaenda kupiga penalti, figo anavua jezi na kutoka uwanjani

Moja kati ya moment za kukumbukwa. Figo aliamini kabisa Zizzou asingekosa...akaamua kwenda zake
 
Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita. Pata picha jinsi Ufaransa hii ilivyosheheni katika michuano ya Euro 2000.
1.Barthez
2.Lilian Thuram
3.Bixente Lizarazu
4.Laurent Blanc
5.Marcel Desailly
6.Patrick Viera
7.Robert Pires
8.Youri Djokaeff
9.Thiery Henry
10.Zinedine Zidane
11.Sylvan Wiltord

Sub:
David Trezguet
Christoph Dugarry
Patrick Karembeu
Emmanuel Petit
Frank Libouf

Hapo captain Didier Deschamps alishastaafu.

Hakika sidhani kama Wafaransa watakuja kupata kikosi mahiri kama hiki, timu ilienea haswa! Hapo Fainali Italy anakufa kwa goli la dhahabu, Nyakati zimekwenda wapi? Ulikuwa wapi wakati kikosi hiki cha Les Bleus kikitikisa Ulaya na Dunia nzima?
Kumbukizi mujarabu, ngoja tuone kama ufaransa watafanya kitu tena michuano ya mwaka huu
 
Back
Top Bottom