sawa ila mdogo wangu zoezi fanya wew mdog wako limemshindaTuko pamoja ndugu yangu
Wasi wasi wangu ni kwamba JF imejiattack yenyewe kuiogopa government.
Halafu tunatakiwa tuishi nao kwa akili sanaHahaha
Yaani acha tuu!! Binadamu n kazi
Hahah! mimi najua anapofeli nikwamba hajui pakuanzia ni wapisawa ila mdogo wangu zoezi fanya wew mdog wako limemshinda
DaaahHalafu tunatakiwa tuishi nao kwa akili sana
[emoji120] ubarikiweUnaita wambea wenzio sio??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaita wambea wenzio sio??
Hahahaaa. Nimecheka na kujisikia aibu lol. [emoji85] [emoji85]Unaita wambea wenzio sio??
Yaani wacha kabisa mdogo wangu, mie nkajua huku pembezoni kwetu ndio hakuna mtandao. Hahahaaaaa.
[emoji23][emoji120] ubarikiwe
Nika nika nika...Mimi zengwe lilianza jana majira ya saa kumi jioni
Niliamua ku unistall App halafu nika install tena, lakini nikagonga mwamba, nikakasirika nikaachana nayo.
Majira ya saa 7 usiku nikaibahatisha kidogo na nikakuta nyuzi baadhi za kuelezea hilo sakata ndio nikajua tatizo. Hadi japo ndio nikaacha kuhangaika kuingia.
Asubuhi ya leo nikabatisha PM moja kwa mtu fulani, nikajaribu kuifungua ikafunguka japo kwa mbinde, niliporudia kufungua tena maana alituma sms kadhaa ikakataa na nikaachana nayo hadi sasa hivi ndio nimerejea tena.
Hamna bana kawaida tu tunatakiwa tuingize mguu mmoja ndani mwingine nje sio uingize yote ukiingiza yote wafwaaaaDaaah
Mie natumiaga akili saana kuishi nao sema basi tuu!!
Mmhhhsawa ila mdogo wangu zoezi fanya wew mdog wako limemshinda
[emoji16][emoji16] mkuu hivyo kicheko chako kimenirudishia mood[emoji23]
Kweli mkuuWakati wa uchaguzi matokeo yalivyoanza tu kuanza kutangazwa tukazimiwa humu kukawa Giza kama jana yani matokeo ya vituo vya kupigia kura
[emoji23][emoji23]Mmhhh