Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Wasi wasi wangu ni kwamba JF imejiattack yenyewe kuiogopa government.

Mkuu unaweza sema hivyo lakini kama ni kweli imetokea attack inamanisha hata accounts za users wote haziko safe kwa hili nikama wamesha achieve yao hakuna sababu tena yakupitisha sheria ya blogs
 
Mimi zengwe lilianza jana majira ya saa kumi jioni

Niliamua ku unistall App halafu nika install tena, lakini nikagonga mwamba, nikakasirika nikaachana nayo.

Majira ya saa 7 usiku nikaibahatisha kidogo na nikakuta nyuzi baadhi za kuelezea hilo sakata ndio nikajua tatizo. Hadi hapo ndio nikaacha kuhangaika kuingia.

Asubuhi ya leo nikabatisha PM moja kwa mtu fulani, nikajaribu kuifungua ikafunguka japo kwa mbinde, niliporudia kufungua tena maana alituma sms kadhaa ikakataa na nikaachana nayo hadi sasa hivi ndio nimerejea tena.
 
Mimi zengwe lilianza jana majira ya saa kumi jioni

Niliamua ku unistall App halafu nika install tena, lakini nikagonga mwamba, nikakasirika nikaachana nayo.

Majira ya saa 7 usiku nikaibahatisha kidogo na nikakuta nyuzi baadhi za kuelezea hilo sakata ndio nikajua tatizo. Hadi japo ndio nikaacha kuhangaika kuingia.

Asubuhi ya leo nikabatisha PM moja kwa mtu fulani, nikajaribu kuifungua ikafunguka japo kwa mbinde, niliporudia kufungua tena maana alituma sms kadhaa ikakataa na nikaachana nayo hadi sasa hivi ndio nimerejea tena.
Nika nika nika...

Ndio ndio ndio...

Hahah! Umeandika kwa hisia sana ndugu yangu pole sana
 
Back
Top Bottom