Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
-
- #21
Inasemekana kawatumia wakorea weusiMi nikajua mkulu ndo keshazima mitandao akianza na huu pendwa
Salama jamani yaan jana kwenye acc ya jf insta nimekuta members wa jf wanalalamika yaani nilitamani tu kuwajua jamaniMarahabaa shunie....za masiku?
Ni kweli kabisa,pia kuna raha fulani ile kuchat na kucomment issue kwa mtu/watu usiowajua na wasiokujuaYaani huwa najisemewa jf ni kisima cha burudani. Tulio wengi hata hatufahamiani ila kupitia maandishi yaani tumekuwa familia moja.
Jf idumu kwa kweli.
Niwe mkweli na sihitaji mtu aniamini mimi nilifanya kolabo na tunguli kwahiyo nikawa online muda wote... Shida ni kwamba sikuwa na wakuchat naye.. Hivyo nikawa navinjari tu majukwaa yasiyo na watu kama wale manjagu leo mitaaniBaada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu?
Ulimiss topic gani humu?
Ulimiss comments za member gani humu?
Mda wowote yan..nikujiandaa kisaikolojiaHahaha si mchezo,mambo yanabadilika mda wowote aise
Davet , ukhuty, Mlima simba Mwifwa njooni na nyie mseme mlichokumbana nacho sababu vile vilikuwa zaidi ya vituko jana. Lol
You got a point....waliona nyuzi za 26 zinazidi wakaamua kufanya yao sioWasi wasi wangu ni kwamba JF imejiattack yenyewe kuiogopa government.
Yapoo ila mengi ni sports grpsMweeeeh
Mko na magroup kumbe
Umeonaeeee. Bora imerudi jamaani angalau tucheke.Ni kweli kabisa,pia kuna raha fulani ile kuchat na kucomment issue kwa mtu/watu usiowajua na wasiokujua
Mmh. Shemeji umetisha.Niwe mkweli na sihitaji mtu aniamini mimi nilifanya kolabo na tunguli kwahiyo nikawa online muda wote... Shida ni kwamba sikuwa na wakuchat naye.. Hivyo nikawa navinjari tu majukwaa yasiyo na watu kama wale manjagu leo mitaani
poleee....bt now we are baaaackHahahaaaaa. Bora nyie.
Mie mpaka nakuja kukumbuka kuuliza watu duuh. Muda ushakwenda.
Hahaaaa. Mie sio kwa muhangaiko ule aisee nikajua simu yangu kimeo nacheck MB ninazo kilichobaki nikubadilisha mikao tu mara sitting room mara chumbani mara kibarazani ilimradi tu eti naweza pata network.
Mpaka nakuja kujua kinachoendelea nilijicheka sana aiseee.
Kwa kuwa imesharudi sina budi kusema tugange yajayo.
Nimefika rafiki, vipi lakini kwema jamani?Davet , ukhuty, Mlima simba Mwifwa njooni na nyie mseme mlichokumbana nacho sababu vile vilikuwa zaidi ya vituko jana. Lol