Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Mi nilihofia usalama wa watumiaji wa mtandao...maana shambulio limekuja wakati wa taharuki ya maandamano sa nikajua kimeshawaka huku.
 
Baada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu?
Ulimiss topic gani humu?
Ulimiss comments za member gani humu?
Niwe mkweli na sihitaji mtu aniamini mimi nilifanya kolabo na tunguli kwahiyo nikawa online muda wote... Shida ni kwamba sikuwa na wakuchat naye.. Hivyo nikawa navinjari tu majukwaa yasiyo na watu kama wale manjagu leo mitaani
 
Attachments

  • Screenshot_20180426-101214.png
    Screenshot_20180426-101214.png
    27.9 KB · Views: 29
Niwe mkweli na sihitaji mtu aniamini mimi nilifanya kolabo na tunguli kwahiyo nikawa online muda wote... Shida ni kwamba sikuwa na wakuchat naye.. Hivyo nikawa navinjari tu majukwaa yasiyo na watu kama wale manjagu leo mitaani
Mmh. Shemeji umetisha.

Sasa si ungemuita mdogo wangu Demiss mkawa mnalisongesha zenu wawili. Hahaaaa.
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ulibadili hadi mkao??
Hahaaaa. Mie sio kwa muhangaiko ule aisee nikajua simu yangu kimeo nacheck MB ninazo kilichobaki nikubadilisha mikao tu mara sitting room mara chumbani mara kibarazani ilimradi tu eti naweza pata network.

Mpaka nakuja kujua kinachoendelea nilijicheka sana aiseee.

Kwa kuwa imesharudi sina budi kusema tugange yajayo.
 
Back
Top Bottom