Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaaaaa. Duuh.Nilimkumbuka sana dada yangu kipenzi Hajar na jamaa zangu akina mbalizi1 Davet hazard cfc bila kumsahau Mama Sabrina Demiss maliyamtu na wengine wengi sana
Kuna watu nawahis jana tumekutana instergram hahahahaha tulifurahi sana na kwa majonzi tukaanza kupita story za huku na kutaka majina ya member wa huku
Kumbe mlihamia Insta?