Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuja kupunguza machungu, ujue nilikuwa nimelala usingizi haukujiii!! We ndo umenishtua akiHapa sasa nimekuona upo sawa
Kaangalie muandiko wake utamjuaNiliona kuna mmoja anaitwa kijiwe ushenzy jamani anawatukanaga mashoga insta natamani tu ningemjua kwa I'd yake ya humu yaani alisema ametumiss sana
Duuh! Kama nakuona aiseeJf imerudi? Asante Mungu
Pole sana rafiki. Sababu yale yalikuwa zaidi ya maudhi aisee.Kwangu hali ilikua hivi. Yan mara ya kwanza iligoma kabisa. Mara ya pili ikaja kukubali lakini kwenye UNREAD hukuti thread yoyote mpya. Daah nilikua naumia sana.View attachment 756823View attachment 756824
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Niliona na mm nilihisi
Na mm nataka machungu yaishe sijakuzoea hivyo kabisaNimekuja kupunguza machungu, ujue nilikuwa nimelala usingizi haukujiii!! We ndo umenishtua aki
Mimi nilimis sana battle za humuNilimkumbuka sana dada yangu kipenzi Hajar na jamaa zangu akina mbalizi1 Davet hazard cfc bila kumsahau Mama Sabrina Demiss maliyamtu na wengine wengi sana
Kuna watu nawahis jana tumekutana instergram hahahahaha tulifurahi sana na kwa majonzi tukaanza kupita story za huku na kutaka majina ya member wa huku
wozaaaaShwari mchumba za wewe
Tumeudiscuss mwandiko na mzigua mana wote alitutaja kamtaja Jolie, Mama Sabrina yaani bado hatujajua ni naniKaangalie muandiko wake utamjua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliulizwa akakataa akasema jina la mtoto wake kafungulia tu account Hahahahahahahaha
Hahahaaaa. Nikikumbuka nacheka sana sababu sio kwa Viemoj vile vya kutia huruma kiasi kile lol.jamani mie tangu jana sikuwa maeneo haya mara paaaaa leo asubuh naingia naona kitu kinaload masaa tele ili bidi nimwendee hewan dada hajar kumuuliza kulikon mbon siingii leo au simu yangu mbovu khee huk sijajibiwa bdo nikamzukia mwifwa looh ndo napewa habri mbaya niliishiwa nguvu jamni mweeeeeeh jf idumu jamni nashukur kwa taarifa dada angu kipenzi Hajar
Hahhaha acha uchocheziwozaaaa
Mkuu unaniangusha...mbona unajibu kibishi sana?Gud sana, naona tumekutana tena sasa tuutumie haraka haraka kabla haujashambuliwa tena
Hakuangushi ndivyo alivyo huyoMkuu unaniangusha...mbona unajibu kibishi sana?