Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Duuh! Hongera zako mdogo wangu. Mie nkajua ulikuwa mwendo wa kujaribu jaribu tu mpaka muda ule. Hahaaaa.Mimi nililala mapema ila nikaamka huo muda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh! Hongera zako mdogo wangu. Mie nkajua ulikuwa mwendo wa kujaribu jaribu tu mpaka muda ule. Hahaaaa.Mimi nililala mapema ila nikaamka huo muda
Hahaaa. Karibu sana kaka ake kwenye chama chetu kilichojaa amani, upendo na furaha kila uchwao.
Kweli kabisa Dada yangukwani uongo[emoji23][emoji23][emoji23]
Love you more
Mkirimu kama kawaida yetuaje pm kwa maelekezo zaid hajar njoo huku
Hahahaaaa. Kwa kweli rafiki.Hahah!!
Hayo yanaitwa mapenzi ya ndani au domestic love bado hayajavuka boda kua ya kimataifa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Love you more
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa usipoingiza yote utamu na watoto watapatikanaje???
Usitupoteze wala nini [emoji23][emoji23]Hahahahahaaa
Tena PM yako iligoma kufunguka kabisa hadi sasa bado sijaifungua nione uliniachia ujumbe gani toka jana asubuhi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwakweli kuna wale watu wa pm bila kupeana mawasiliano mbadara ndio walikua na stress sana, nahisi Mwifwa hajafanya makosa leo kishachukua vyake
Huo ndio ukweli shemUshauri wako mmmmh
Wahi kachukue vyako aiseeHapo nipo kwenye mkumbo hahahahaha ngoja niwahi pm
MhSasa usipoingiza yote utamu na watoto watapatikanaje???
Hapana bwana..wengine mkiingia mazima ndio tunapenda na tunajiamin kwa 100% tunapendwaHuo ndio ukweli shem
Sie nilikuwa too much hahahahahahaHahaaa. Wacha kabisa kaka.
Ila nyie mlizidi bana.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]wakiwa huku huwa wanasema hawawez kuwa mitandao kama ig
Hahah!! Karibu sana mkuuKwa kweli ni full upendo yani mpaka raha, nimewapenda wote
mtoto anadeka san huyu njoo pm mdog wanguPoa nalifanyia kazi hilo swala dada wala usijari kwanza muda sio mrefu nakuja PM