Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Baada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu?
Ulimiss topic gani humu?
Ulimiss comments za member gani humu?
Hakuna kushambuliwa kwa technology ya Jamii Forum.
Kilichotokea ni serikali kuwaomba kwamba fanyeni huduma isipatikane kwa Massa ya kuanzia tarehe 25 mpaka tarehe 26 jioni na sio kwamba wamevamia technology ya jamii forum
Kwa technology gani apa bongo ya kushambulia jamii forum
Hawo wachina wanakuja kila siku wameshindwa kuingilia system ya jamii forum
Wangekuwa wamekuja watoto kutoka pale Arizona USA, wale wangezuia Jamii Forum kiukweli na sio ivi vinchi vya kukopi na kupest
 
Baada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu?
Ulimiss topic gani humu?
Ulimiss comments za member gani humu?
Daàah!
Nilijikuta natukanaa tu kama kijaa, nikjua ndo jf yngu imekatisha maisha na fisi mwenye tamaa na njaa Kali

Kiukweli niliwaza namna ya kukukutana tena na wana family (jf)
Mpka nikatamani bora hata ningekuwa na namba zako niwapigiee.....
I Love jf.. .
 
Tumerejea. Kwa sasa tunafanya marekebisho kadhaa na huduma itarejea hewani baada ya kukamilika kwa marekebisho hayo. Endelea kuifuatilia JamiiForums kupitia kurasa zetu (Twitter, Instagram, Facebook na Telegram)
BASI HAYA NDIO MANENO KUANZIA JUZI NAKUTANA NAYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…