Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Yaan hii message ilikua ikinikera sana mara nyingine inaniambi ni log in tena Du..! Hivi ili shambulio lina uhusiano wowote na vugu vugu la maandamano..?
Screenshot_20180425-220116.jpg
 
mi baada ya kufail nilienda insta maana nimewafollow. nilipoona ile breaking news.
nikahisi ni mambo ya maandamano tu
nilimiss updates za the whole day
 
mi baada ya kufail nilienda insta maana nimewafollow. nilipoona ile breaking news.
nikahisi ni mambo ya maandamano tu
nilimiss updates za the whole day
 
Back
Top Bottom