Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una hasira za Jana eeUlale salama na usiku mwema mimi kweli bado sana yani
lilikuwa hatari mazee kumbe majaa wanaweza kucontroll yaani nilikuwa nakutana na error error tu, nilitumia kama PC nne ivi lakini mambo yakawa yaleyale . mods tupeni ufafanuzi tafadhali.Baada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu?
Ulimiss topic gani humu?
Ulimiss comments za member gani humu?
[emoji23][emoji23]Ilibaki kidogo upande juu ya mti utafute network eeh? Hahahaaa
ni jambo la kushukurKabisaaa na halipingiki hilo.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Feel at home mgeni
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Ulale salama Dada yetu
usijal mgeni wetu
Hahaaa. Sawa kaka ake we lisongeshe tu.Ulale salama na usiku mwema mimi kweli bado sana yani
[emoji23][emoji23][emoji23]Wacha yaani. Nilikuwazia mpaka basi.
Hahah mtoto ameshakua huyo mimi nawaambia kila siku
Japo sipo kwenye ukoo wa MUHD sio vibaya nikiitikia hii dua ya kutakiwa kukesha kwema, AAMIIINNaenda kulala ndugu zanguni. Muwe na mkesha mwema sababu nyie ndio kwanza kumekucha. [emoji12]
Allah azidi kuwasimamia kila uchwao.
kabisa yaan udugu hazina yetuIsiyohitaji upimaji wa DNA
Hahaaaa. Usijali Sesten.Japo sipo kwenye ukoo wa MUHD sio vibaya nikiitikia hii dua ya kutakiwa kukesha kwema, AAMIIIN
ngoja nikakujibu babu usinuneNiko poa kabisa. Japo umesusa kujibu PM zangu, mi nimeamua kumwachia Mungu
hahahah Alihamdulillah zanguHaujawahi kuniangusha sekta ya ukarimu
Wengi wapeWengi wanasema hvyo
Haya fanya haraka kabla sijabadili mawazo...ngoja nikakujibu babu usinune