Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Baada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu?
Ulimiss topic gani humu?
Ulimiss comments za member gani humu?
lilikuwa hatari mazee kumbe majaa wanaweza kucontroll yaani nilikuwa nakutana na error error tu, nilitumia kama PC nne ivi lakini mambo yakawa yaleyale . mods tupeni ufafanuzi tafadhali.
 
Back
Top Bottom