Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Feel at home mgeni
Nitakuja sister usijali hahahahaha
Sio yako Dada ni ya mwingine[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
karibu mgeni wetu
Naenda kulala ndugu zanguni. Muwe na mkesha mwema sababu nyie ndio kwanza kumekucha. [emoji12]Huyo mtoto anashida kwakweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa. Davet njoo huku naona bila hiyo kushiba sana [emoji23] [emoji23] usingizi ungekuwa ndoto.
Hongeta kwa kweli mdogo wangu.
[emoji120][emoji120]Nitakuja sister usijali hahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbon mko hivyo jamaniHahahahahaaaa.
Mimi kaja kashusha malalamiko mengi kwa huzuni sana.
Nikamwambia na mimi hali iko hivyo hivyo toka jana.
Nikamwambia nimesikia kuna tatizo na linafanyiwa kazi, hapo ndio presha ikashuka
Hahaaa. Hivyo ukaona ujishibie ili iwe rahisi kupata usingizi lol.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ile shibe ilinikomesha kabisa, maana suluhu ilikuwa ni kulala tu
Hahahahaaa.Hahaaaaa. Hapo moyo wake ukamtulia.
Hakika.mashaallah kwa family yet kwa kweli
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
shukran mkuuManeno makubwa sana hayo Ukhuty
Hahahaaaa. Mie nliwahi nkamshtua.Hahahahaaa.
Hadi aliniambia nimshtue ikirejea ila nimechelewa kuangalia kama imerejea
Wengi wanasema hvyoHawa walijishambulia wenyewe!
Naenda kulala ndugu zanguni. Muwe na mkesha mwema sababu nyie ndio kwanza kumekucha. [emoji12]
Allah azidi kuwasimamia kila uchwao.
Ulale salama Dada yetuNaenda kulala ndugu zanguni. Muwe na mkesha mwema sababu nyie ndio kwanza kumekucha. [emoji12]
Allah azidi kuwasimamia kila uchwao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbon mko hivyo jamani
Usijari mkuu tupo pamoja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa. Hivyo ukaona ujishibie ili iwe rahisi kupata usingizi lol.
Ila mdogo wangu ulijua kujiongeza bana. [emoji23] [emoji23]