Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaa. LolAsikupoteze huyo hakumaanisha yako
karibia san mdogo wangu jisikie upo nyumbanNimeshapata picha mkuu ahsante @ukhut sister langu la nguvu
aje pm kwa maelekezo zaid hajar njoo huku
Hahahahahaaaa.Ila kanichekesha ukhuty kaja kwa upole ananiuliza taratibuu eti "dada umeingia jf leo" nikacheka sana yaani.
Hahahaaaa. Wacha kabisa halafu kuna mtu anajijua [emoji85] nilikuwa nataka kuongea nae kitu saa kumi ndio nkazidi kupagawa Hajar mie.Hahahaa, pole sana Hajar nimejikuta nimecheka kwa sauti kwa kusoma jinsi ulivyo hangaika, ama kweli ukitaka kujua thamani ya kitu kikutoke kwanza, kwakweli kila mtu alitaharuki kwa style yake kutokana na shambulio la forum hii pendwa, lakini tunashukuru imekaa sawa kwa haraka
Maneno makubwa sana hayo Ukhutypindi atakapo wajilia mtukufu wa jamaa zenu basi mkirimuni nishamkirimu mdog wangu
Kabisaaa na halipingiki hilo.Kwakweli tumependwa
Sio yako Dada ni ya mwingine[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaaa. Kumbe ni ile yangu mie nkajua ya jiwifi langu.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaaa. Davet njoo huku naona bila hiyo kushiba sana [emoji23] [emoji23] usingizi ungekuwa ndoto.Ilipokataa kuanzia saa kumi hadi saa 12 jioni nikaachana nayo, nilikula Dinner mapema nikashiba sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , kuanzia shiba na uchovu wa kutwa nzima kwa Jamhuri nikajikuta niko hoi, nikaamua kulala ili nijiweke kwenye msawazo.
Bahati nzuri nilishtuka majira ya mid night ndio nikakuta imerejea kidogo na mimi nikaingia japo kwa mbinde.
Ni nani kumbeSio wewe honey...
Wacha yaani. Nilikuwazia mpaka basi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimetia huruma dada
Kambea flani hivi kanajijua...Ni nani kumbe
Ilibaki kidogo upande juu ya mti utafute network eeh? HahahaaaHahahaaaa. Wacha kabisa halafu kuna mtu anajijua [emoji85] nilikuwa nataka kuongea nae kitu saa kumi ndio nkazidi kupagawa Hajar mie.
Ila bora imerudi hewani sababu ilikuwa balaa.
Hahaaaaa. Hapo moyo wake ukamtulia.Hahahahahaaaa.
Mimi kaja kashusha malalamiko mengi kwa huzuni sana.
Nikamwambia na mimi hali iko hivyo hivyo toka jana.
Nikamwambia nimesikia kuna tatizo na linafanyiwa kazi, hapo ndio presha ikashuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
tatizo lako unapita kwenye nyayo zangu za zamani sasa inakua ngumu kunichenga
Karibu sana kaka.
Isiyohitaji upimaji wa DNA