Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,723
- 7,408
Hakuna kushambuliwa kwa technology ya Jamii Forum.Baada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu?
Ulimiss topic gani humu?
Ulimiss comments za member gani humu?
Kilichotokea ni serikali kuwaomba kwamba fanyeni huduma isipatikane kwa Massa ya kuanzia tarehe 25 mpaka tarehe 26 jioni na sio kwamba wamevamia technology ya jamii forum
Kwa technology gani apa bongo ya kushambulia jamii forum
Hawo wachina wanakuja kila siku wameshindwa kuingilia system ya jamii forum
Wangekuwa wamekuja watoto kutoka pale Arizona USA, wale wangezuia Jamii Forum kiukweli na sio ivi vinchi vya kukopi na kupest